Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

Asicho kijua salma kikwete ni kwamba mke wa kiongozi yeye sio kiongoz na hastahili chochote cha kiuongozi zaid ya heshima tu tena na yenyewe sio lazima.
 
Asicho kijua salma kikwete ni kwamba mke wa kiongozi yeye sio kiongoz na hastahili chochote cha kiuongozi zaid ya heshima tu tena na yenyewe sio lazima.
... hii mentality sijui itaondokaje vichwani mwa wenye akili za aina hiyo.
 
Ndo maana amezingumzia hayo maana hawalipwi hayo mafao yao na kisheria inatakiwa ulipwe pale unapostaafu kazi
Alichoongelea ni kuwa Serikali imtafutie kazi ingine ya kufanya mume akipata uraisi , umakamu au uwaziri mkuu na impe mafao ya u first lady!!!

Sheria za mafao kule unafanya kazi ziko wazi


Je Mwanachama wa Mfuko akiacha kazi anaweza kulipwa mafao ya kujitoa?​


Hapana. Mwanachama wa PSSSF akiacha kazi kwa hiari yake hatapata mafao hadi atakapofikisha umri wa kustaafu kisheria Atashauriwa kuendeleza uchangiaji wake akiwa kwenye ajira nyingine. Kama akiwa ameachishwa kwa sababu nyingine yeyote bila hiari yake, Mfuko utamlipa mafao ya kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6, mafao hayo yatasita endapo atapata kazi kabla ya kuisha kwa miezi hiyo sita. lkipita miezi 18 baada ya kwisha kipindi cha kupata fao la kukosa ajira, mwanacharma anaweza kuomba michango yake kwenye mfuko kuhamishiwa kwenye Mfuko wa hiari. Michango itahamishwa baada ya kuondoa jumla ya fao la kukosa kazi. Fao la kukosa kazi litalipwa si zaidi ya mara tatu katika utumishi wote wa wanachama.
 
 
Nimekutumia link nadhani utamuelewa
 
Kupunguza bugudha mke au mume wa Raisi,makamu na Waziri mkuu waruhusiwe kuendelea na shughuli zao walizokuwa wakifanya.Kama mwalimu waendelee na ualimu wao wasihangaike naye

Marekani Taratibu ziko hivyo .Mfano mke wa Raisi wa sasa Joe Biden ni Proffessor anaendelea kufundisha

Waume zao wapunguziwe zile posho za wenza kupunguza bajeti
 
Sasa nahisi umemuelewa nini ambacho alikuwa anamaanisha
 
Sasa nahisi umemuelewa nini ambacho alikuwa anamaanisha
Basi kazi ndogo mume wa Samia aendelee na kazi zake na wake wa hao viongozi wa juu wengine waruhusiwe kuendelea na shughuli zao simple

Mtu Raisi au makamu au Waziri mkuu ana wake wanne huwezi beba wote kila mmoja aendelee na shughuli zake na Raisi ,makamu na Waziri mkuu aendelee na zake
 
Basi kazi ndogo mume wa Samia aendelee na kazi zake na wake wa hao viongozi wa juu wengine waruhusiwe kuendelea na shughuli zao simple

Mtu ana wake wanne huwezi beba wote kila mmoja aendelee na shughuli zske
Sasa sheria inawataka wastaafishwe labda mkabadili
 
Sasa sheria inawataka wastaafishwe labda mkabadili
Kubadili sheria rahisi tu kupitia hati ya dharura
Kwanza walikuwa mizigo tu kwenye bajeti ya nchi

Mwanasheria mkuu wa Serikali apeleke hati ya dharura kubadili hilo upesi kabla mama salma hajamtoa macho Kikwete ili arudi kufundisha chekechea akipata mshahara take home laki 6 ampelekee mumewe Kikwete

Waruhusiwe tu kabaki na fani zao hao wenza wao anayetaka kuwa full time housewife sawa asiyetaka sawa

Nchi nyingi wenza wa viongozi wanaendelea na mambo yao na viongozi wakiendelea na yao
 
Nini kimempata mama Salma?
Mume-Rais Mstaafu
Mtoto-Mbunge Chalinze
Yeye-Mbunge huko Mchinga

Anachotaka nini tena?
 
Mama punguza mawazo yaliyojaa ubinafsi waangalie na wajane na wagane wengine, Mungu hapendi hivo
 
Nini kimempata mama Salma?
Mume-Rais Mstaafu
Mtoto-Mbunge Chalinze
Yeye-Mbunge huko Mchinga

Anachotaka nini tena?
Anataka aachwe free akaendelee na mambo yake hataki kuchungwachungwa na mi body guard kila kona

Nafikiri vizuri tu waruhusiwe kuendelea na kazi zao za awali itasaidia kuondoa frustration zao za majumbanizilizowajaa kibao kujiona kama wafungwa

Kafikia kiwango cha juu cha frustration anaona ndoa kama gereza!! Kuwa heri niwe na cha kufanya !!

Ila shukrani hana eti unaanzisha NGO hakuna wa kukusaidia!! Ile NGO yake ya WAMA viongozi na taasisi kibao za Serikali zilikuwa zinaichangia mamilionin kwa influence ya Raisi Kikwete mumewe hadi wataalamu alipewa akina Kingwangala nk

Kusema mumewe hakumsaidia ni utovu wa nidhamu na kukosa shukrani.Yeye wazungu wafadhili wa huo mfuko angewapata wapi bila influence ya mumewe Raisi Kikwete? Kusema alihangaika mwenyewe sio kweli.Ofisi yenyewe ya WAMA pale ikulu aliwezaje kupata bila msaada wa mumewe?.mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Salma kamdhalilisha mumewe kusema NGO yake hakumsaidia alihangaika mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…