DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi pindi wanapokabiliana na mambo magumu.
“Uongozi ni wote Mh. Mwigulu au Rais Samia Suluhu Hassan ana mwenza wake na sisi wabunge tuna wenza wetu tunawapongeza sana Wabunge hawa,wenza wa wabunge, mwenza wa Samia kwa kuhakikisha kwamba amemsaidia kwa hali na mali ili mambo yake yanakwenda vizuri”
‘’Nataka niwaambie, Pamoja na na Urais wake anazungukwa na walinzi chungu nzima lakini ikifika usiku anaenda kulala, akishaaenda kulala kwanza anamtegemea Mungu na mwenza wake ndiye anaye mfariji akiwa na misongo, mwenza ndiye mtu wa kwanza kumpa Faraja bila yeye mambo hayaendi vizuri” Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete
Soma,pia 'Energy drink' zinaharibu watoto, tutafute mbadala