Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Logical non sequitur fallacy.Hapana, anaonekana kupitia kwa mkewe ndo maana utendaji wa mkewe ni wa kutukuka, yupo mwenza makini nyuma yake.
Logical non sequitur fallacy.Hapana, anaonekana kupitia kwa mkewe ndo maana utendaji wa mkewe ni wa kutukuka, yupo mwenza makini nyuma yake.
kowtowLogical non sequitur fallacy.
Pitter patter.kowtow
Duh,Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi..
Anawazaaa ngono tuu....justify ujinga wa ile sheria kipuuzii...Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi pindi wanapokabiliana na mambo magumu.
“Uongozi ni wote Mh. Mwigulu au Rais Samia Suluhu Hassan ana mwenza wake na sisi wabunge tuna wenza wetu tunawapongeza sana Wabunge hawa,wenza wa wabunge, mwenza wa Samia kwa kuhakikisha kwamba amemsaidia kwa hali na mali ili mambo yake yanakwenda vizuri”
‘’Nataka niwaambie, Pamoja na na Urais wake anazungukwa na walinzi chungu nzima lakini ikifika usiku anaenda kulala, akishaaenda kulala kwanza anamtegemea Mungu na mwenza wake ndiye anaye mfariji akiwa na misongo, mwenza ndiye mtu wa kwanza kumpa Faraja bila yeye mambo hayaendi vizuri” Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete
Soma,pia 'Energy drink' zinaharibu watoto, tutafute mbadala
Zero brain,huyu mama anawazaga kunyanduana tu kichwani empty setMbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi pindi wanapokabiliana na mambo magumu.
“Uongozi ni wote Mh. Mwigulu au Rais Samia Suluhu Hassan ana mwenza wake na sisi wabunge tuna wenza wetu tunawapongeza sana Wabunge hawa,wenza wa wabunge, mwenza wa Samia kwa kuhakikisha kwamba amemsaidia kwa hali na mali ili mambo yake yanakwenda vizuri”
‘’Nataka niwaambie, Pamoja na na Urais wake anazungukwa na walinzi chungu nzima lakini ikifika usiku anaenda kulala, akishaaenda kulala kwanza anamtegemea Mungu na mwenza wake ndiye anaye mfariji akiwa na misongo, mwenza ndiye mtu wa kwanza kumpa Faraja bila yeye mambo hayaendi vizuri” Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete
Soma,pia 'Energy drink' zinaharibu watoto, tutafute mbadala
maslahiSasa si angebaki nyumbani amlee vizuri JK jamani?
Cc Leejay49 na Babu Seya Nguza Vicking kifungo cha maishaZero brain,huyu mama anawazaga kunyanduana tu kichwani empty set
Tunataka video ya hiyo mifarijiano, siyo maneno matupu... Hahaha
Wako bize na October huo muda wanautoa wapi?Tunataka video ya hiyo mifarijiano, siyo maneno matupu... Hahaha
Ungependelea kushudia mifarijiano ya kiongozi gani...Wako bize na October huo muda wanautoa wapi?