Salma Kikwete: Bila wenza wa viongozi mambo hayaendi vizuri

Salma Kikwete: Bila wenza wa viongozi mambo hayaendi vizuri

Anaona aibu ule upuuzi alioupendekeza bungeni ukatungiwa sheria. Yaani mtu chakula anachokula kwa siku hakifiki hata 1kg lakini anataka alipwe pesa kama mke wa mstaafu. Ubunge analipwa, familia yao inatunzwa kwa kupata mahitaji yote lakini hatosheki! Ameona awakejeli walala hoi tena. Kwani ni wabunge wote wameoa na kuolewa?
.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno yaliyotolewa na Mama Salma Kikwete Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ameyasema hayo Bungeni Dodoma katika kuchangia Bajeti kuu ya Wizara ya Fedha.

Ameelezea Umuhimu wa wenza wa viongozi hasa katika kutoa faraja wawapo chumbani wakiwa wamechoka na wana uchovu mkubwa. Hivyo amewapongeza sana wenza wa viongozi kwa kazi kubwa wanayoifanya kuwapa faraja viongozi.

Amesema bila wenza wa viongozi mambo hayawezi kwenda vizuri
Screenshot_20250620-171233_1.jpg


Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno yaliyotolewa na Mama Salma Kikwete Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ameyasema hayo Bungeni Dodoma katika kuchangia Bajeti kuu ya Wizara ya Fedha.

Ameelezea Umuhimu wa wenza wa viongozi hasa katika kutoa faraja wawapo chumbani wakiwa wamechoka na wana uchovu mkubwa. Hivyo amewapongeza sana wenza wa viongozi kwa kazi kubwa wanayoifanya kuwapa faraja viongozi.

Amesema bila wenza wa viongozi mambo hayawezi kwenda vizuriView attachment 3376968

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yupo sahihi mh.mbunge
 
Inatakiwa na wenza wa waheshimiwa wabunge waanze kulipwa mafao.
For sure wanastahili mafao kwasabb huwezesha ufanisi wa mambo mengi mno kwa viongozi ambao ni waume zao, mambo ambayo yamejificha.


Umahiri wa viongozi wengi wa kitaifa hutokana na faraja za kimwili, kiroho na kisaikojia kutoka kwa wake zao nyumbani.
 
Kweli mwenza ana mahala pake, inanikumbusjha Mwenza wa Mdude Nyagali nimeona kafungua kesi
 
Mwalimu mpe ubao tu ...........ikizidi sana mapishi basi ..............ukizidisha nafasi au teuzi lazima uone vibweka...........mark my word this is a thruth
 
Huyu mama ndo mtu mwenye tamaa kuliko watu wote Tanzania. Kuna stori za vijiweni kuwa alishawahi kuamshiwa wenge na JPM kwa mambo yake ya kikuda. Kama ni kweli nampongeza sana hayati JPM.
Wenge gani hilo?
 
Back
Top Bottom