Salma Kikwete: Bila wenza wa viongozi mambo hayaendi vizuri

Si ameshapiga chapuo wenza wanalipwa, anataka nini tena mama kikwete na hizo habari za wenza🤦
 
Brother!

Utayafuta mafao ya wastaafu wanasiasa,wachangie kwenye mifuko ya pensheni kama watumishi wengine!!!

Taarabu kama hizi zitaisha!!
 
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi pindi wanapokabiliana na mambo magumu.

“Uongozi ni wote Mh. Mwigulu au Rais Samia Suluhu Hassan ana mwenza wake na sisi wabunge tuna wenza wetu tunawapongeza sana Wabunge hawa,wenza wa wabunge, mwenza wa Samia kwa kuhakikisha kwamba amemsaidia kwa hali na mali ili mambo yake yanakwenda vizuri”

‘’Nataka niwaambie, Pamoja na na Urais wake anazungukwa na walinzi chungu nzima lakini ikifika usiku anaenda kulala, akishaaenda kulala kwanza anamtegemea Mungu na mwenza wake ndiye anaye mfariji akiwa na misongo, mwenza ndiye mtu wa kwanza kumpa Faraja bila yeye mambo hayaendi vizuri” Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete

Soma,pia 'Energy drink' zinaharibu watoto, tutafute mbad

Yote heri.
 
Soma,pia 'Energy drink' zinaharibu watoto, tutafute mbadala

Watu kama hawa wakiongea watanzania huwa wanaumia sana, sijui kea njni hawakai kimya tuu?
 
For sure wanastahili mafao kwasabb huwezesha ufanisi wa mambo mengi mno kwa viongozi ambao ni waume zao, mambo ambayo yamejificha.

Umahiri wa viongozi wengi wa kitaifa hutokana na faraja za kimwili, kiroho na kisaikojia kutoka kwa wake zao nyumbani.
Mwenza anae staili kulipwa ni
Wa Mpina na
Gwajima
Hao wengine wanastaili viboko.
 
Haka nako kamechanganyikiwa,
wala hakana mvuto wala ushawishi.
 
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi pindi wanapokabiliana na mambo magumu.

“Uongozi ni wote Mh. Mwigulu au Rais Samia Suluhu Hassan ana mwenza wake na sisi wabunge tuna wenza wetu tunawapongeza sana Wabunge hawa,wenza wa wabunge, mwenza wa Samia kwa kuhakikisha kwamba amemsaidia kwa hali na mali ili mambo yake yanakwenda vizuri”

‘’Nataka niwaambie, Pamoja na na Urais wake anazungukwa na walinzi chungu nzima lakini ikifika usiku anaenda kulala, akishaaenda kulala kwanza anamtegemea Mungu na mwenza wake ndiye anaye mfariji akiwa na misongo, mwenza ndiye mtu wa kwanza kumpa Faraja bila yeye mambo hayaendi vizuri” Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete

Soma,pia 'Energy drink' zinaharibu watoto, tutafute mbadala

Kumbe mama na zaidi ya baba kwa mipasho, hata kwa shogaye!!
 
Back
Top Bottom