Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,575
- 2,440
Na katundu anatoa au sioIkifika usiku anaenda kulala, ni hapo tu nimeona😃
Mi simooooooNa katundu anatoa au sio
Yupo sahihi mh.mbungeNdugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno yaliyotolewa na Mama Salma Kikwete Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ameyasema hayo Bungeni Dodoma katika kuchangia Bajeti kuu ya Wizara ya Fedha.
Ameelezea Umuhimu wa wenza wa viongozi hasa katika kutoa faraja wawapo chumbani wakiwa wamechoka na wana uchovu mkubwa. Hivyo amewapongeza sana wenza wa viongozi kwa kazi kubwa wanayoifanya kuwapa faraja viongozi.
Amesema bila wenza wa viongozi mambo hayawezi kwenda vizuriView attachment 3376968
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nenda na wewe ukatoe hoja.Kakosa hoja huyo!
Inatakiwa na wenza wa waheshimiwa wabunge waanze kulipwa mafao.Yupo sahihi mh.mbunge
For sure wanastahili mafao kwasabb huwezesha ufanisi wa mambo mengi mno kwa viongozi ambao ni waume zao, mambo ambayo yamejificha.Inatakiwa na wenza wa waheshimiwa wabunge waanze kulipwa mafao.
Kwa kazi ipi wanayoifanya?Inatakiwa na wenza wa waheshimiwa wabunge waanze kulipwa mafao.
Na wakifa wawe na makabur maalumu ili WASIOZE au siyoInatakiwa na wenza wa waheshimiwa wabunge waanze kulipwa mafao.
anaonekana usiku wakt wa kulalaHapo ndipo mwisho wa kufikiri kwake au kafanya makusudi tu?
Mbona mwenza wa Rais haonekani?
Kwenye zoom?anaonekana usiku wakt wa kulala
Hapana, anaonekana kupitia kwa mkewe ndo maana utendaji wa mkewe ni wa kutukuka, yupo mwenza makini nyuma yake.Kwenye zoom?
Wenge gani hilo?Huyu mama ndo mtu mwenye tamaa kuliko watu wote Tanzania. Kuna stori za vijiweni kuwa alishawahi kuamshiwa wenge na JPM kwa mambo yake ya kikuda. Kama ni kweli nampongeza sana hayati JPM.