Salma Kikwete: Bila wenza wa viongozi mambo hayaendi vizuri

Mdanganyika mwenye kutegemea mlo mmoja kwa siku alitegemea atawakilishwa na vya maana!
Labda sasa WADANGANYIKA tunaelewa sasa hawa watu ni wabinafsi kuliko!
Hawana muda nasi, lini tutajikwamuwa kutoka kwenye makucha yao ya kikatili?!
 
Anawazaaa ngono tuu....justify ujinga wa ile sheria kipuuzii...
 
Zero brain,huyu mama anawazaga kunyanduana tu kichwani empty set
 
Tatizo sio mbunge. Huyo aliyewapeleka hapo atakua amewakosea watanzania
 
Dah! Wametuzingira kwelikweli yani, ukigeuka rizimoko, upande wa pili JK baba lao ukisinzia mara mama na wenza wao! Anyway ndio qualification pekee aliyonayo lazima aisifie popote (ya unyumba)
 
Aisee mwanzo alikuwa anampa faraja JK sahvi JK anampa faraja mama salma aka mama tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…