Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Nani Amelala.Tuanze kazi ya kuwaamsha wananchi wa Mchinga
Ni mama yetu anaefikiri Mchinga wamelala.Nani Amelala.
UBINAFSI/UCHOYO WA MADARAKA WAKATI HUNA UWEZO. HAWATAKI KUSHINDANISHWA, UKIGOMBEA NAYE UNATEKWANdugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mungu akusamehe sana ndugu yanguWewe Chawa Lukas, ulikuwa chawa wa Mama baada ya mkeka kutoka na wewe kutupwa humu🚮 umeamua kuwa Chawa rasmi wa familia ya Kikwete.Ulianza na CV ya Ridhiwani na Sasa upo na Mama ake Ridhiwani.Wewr kifo chako kitakuwa Cha Mdomo wazi.Mauti itakukuta ukiwa unashangaa yaani utoamini kitachokupata.
Wananchi wa Mchinga.sijui wananchi gani hao
Wananchi wanamtaka aendelee kuwatumikia na ndio waliomuomba.Kutoka kuwa 1St lady hadi kuwa mgonga Meza, hata km ulafi wa madaraka,
t kwa kweli. Lolgv
Nenda ukagombee . Hakuna atakaye kutekaUBINAFSI/UCHOYO WA MADARAKA WAKATI HUNA UWEZO. HAWATAKI KUSHINDANISHWA, UKIGOMBEA NAYE UNATEKWA
Wanasema wanakubalika halafu utashangaa wanaandaa kura bandia na fugisu nyingiiiSalma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe
Jitahidi hii familia ya Kikwete uwazalie mtoto maana siyo kwa kujikomba huku.Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu mama kipi anafuta ambacho hana?Ndugu zangu Watanzania,

Hakuna kitu kama hicho.Wanasema wanakubalika halafu utashangaa wanaandaa kura bandia na fugisu nyingiii