GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa njinsi nchi hii kwa sasa ilivyo ba jinsi tunavyoifahamu haiwezekani jimbo likawa lina mhombea moja. Salma atwambie tu kafanyafanyaje? Siyo bure.

Kamwe, Nchi hii haiwezi kutulia Wala kusonga mbele kimaendeleo endelevu bila ya CCM kufa kwanza.

Kwa Sasa Nchi hii imekwama vibaya sana kiasi kwamba mbele haiendi na wala nyuma hairudi!
 
Back
Top Bottom