GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tutamkumbuka pole pole na maneno yake, Hilo mama ni bumunda tu....si ndio lile lilisema wake za Marais wawe wanalipwa???... Inamaana Hilo Jimbo hakuna mwanaccm mwenye akili timamu anayeweza kugombea....Hadi kurudia kuleta rubbish🙇
Nchi inaharibika
 
Uzuri table turns,
Kilivo ingia Chuma JPM haya mambo yalikuwa yanaondoka kabis
 
Hao ndiyo wenye nchi sisi wote ni manamba tu wa kufanya kazi tulipe kodi. Hao hata wasipotoka kwenye nyumba zao wanalipwa pamoja na vijakazi wao.
Nimeangalia hayo majina, hii nchi inaelekea pabaya, CCM kila kiongozi anaweka watoto, wakwe ,wajomba na ndugu zake wote waende bungeni wale keki ya nchi. Yaani kuna koo Suluhu, Mwinyi, Kikwete zinajaza bunge.
Najiuliza, hivi mfano uje mswada kwa Rais, wabunge wanataka kuongeza mishahara na posho zao. Akiangalia pale ana mkwe, watoto watatu, na ndugu kadhaa, wako ukoo wa Mwinyi na Kikwete kama wote. Unadhani anaweza kataa kwa maslahi ya nchi?
Huo sio mgongano wa maslahi?
 
Back
Top Bottom