GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii ni zaidi ya futuhi.
Mwenye nacho anaongezewa.
DJ tunaomba kibao cha John Komba, CCM ni ile ileView attachment 3423267

Pia soma:
Chalinze pia Ridhiwani hana mpinzani. Hawa inaonekana wanaelewa nini maana ya uchaguzi. Wanakabia kwa juu.
 
1753792030587.png



Sultanate State of Tanganyika
 
Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Na Ridhiwani Kikwete nae amepita bila kupingwa
 
Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM

Imagine, siyo Salma tu hata Mwanae Riz1 naye kapita peke yake.

Sasa ni rasmi. Kikwete kashikilia uskani. No wonder Maza snsmuita Boss mbele ya hadhara.
 
Huyu doto biteko, huwa anawalisha wasukuma kila mwaka mpya wanakula wanasanza sana , atapita hata ubunge sjui watu wakoje nyama tu yaani
 
Hv ubunge hauna ukomo wa umri na kila mbunge angehudumu miaka kumi tu inatosha yaani,
 
ila mimi kwa yote haya ya hao kupata hizi nafasi
siwashangai wala kuwalaumu.

HAPA BILA KUPEPESA MACHO WENYE SHIDA ZA AKILI NI wananchi wa hayo majimbo kama Chalinze na kwingineko huko anakotokea huyo Salma.

Hao wananchi wa hayo maeneo ndiyo wanapaswa kupimwa akili zao, kama kweli zipo sawa.
Siamini kuwa wanashikiwa bunduki kuwakubali hao watia nia.
ila kwa kuwa wanaendekeza njaa na umasikini wao.
Kumbuka kila mtu ana price.
Wanatumika kwa njaa zao na umasikini wao kisha wanakuja humu JF kujiliza nyuma keyboards.

Makamba wananchi walimkataa na kweli
imekuwa hivyo
sasa hayo majimbo mengine wanashindwa nini kama sio kuendekeza njaa zao na umaskini wao katika kufanya maamuzi magumu?

Hivyo tusiwalaumu familia ya kikwete na ya Mwinyi kwa wao kupata hizo nafasi.
 
Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Mnaondika uzi kama hizi ina maana mnaona ni sawa tuendelee kushabikia nani atakua waziri mkuu?, nani atakua nani? Kama wote ni wajinga hivi? Nchi inaenda kuwa chini familia ya kikwete na samia, halafu sisi tunakazana kuulizana nani atakua waziri mkuu! Tuache ujinga watanzania!
 
Back
Top Bottom