maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Napendekeza Salma KikweteSalma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Napendekeza Salma KikweteSalma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Salma Kikwete mtu wa ijumaa lazima maza amkumbukeSalma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Kalipwa mafao ya wenza kibao na bado anapitishwaHivi huyu mama salma kunani?
Si atulie ampikie mstaafu wake?
Mafao yote anayopata tamaa ya nini tena?
Kuna koo kama 6 8 hivi zinaitafuna vizuri sn hii nchiKamwe, Nchi hii haiwezi kutulia Wala kusonga mbele kimaendeleo endelevu bila ya CCM kufa kwanza.
Kwa Sasa Nchi hii imekwama vibaya sana kiasi kwamba mbele haiendi na wala nyuma hairudi!
hiyo pdf irushe mkuuHii ni zaidi ya futuhi.
Mwenye nacho anaongezewa.
DJ tunaomba kibao cha John Komba, CCM ni ile ileView attachment 3423267
Pia soma:
![]()
Watu wa jimbo la Mchinga hii ni kweli?
Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao. Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?www.jamiiforums.com
Kati yake na rais nani atakuwa mkubwa?Napendekeza Salma Kikwete
Kwa hisani ya fazaSalma Kikwete mtu wa ijumaa lazima maza amkumbuke
Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Zungu yupo pekee? ZinakutoshaKagombee wewe basi
Zungu hapo Ilala yuko peke yake
Uyole Dr Tulia yuko peke yake nk
Kwa umri au nini? Kila cheo kinaongozwa kikatiba lakini kama ni ukubwa wa madarakaKati yake na rais nani atakuwa mkubwa?
Ridhiwani Kikwete piaSalma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Huyu mama na familia yake Mungu anawaonaTutamkumbuka pole pole na maneno yake, Hilo mama ni bumunda tu....si ndio lile lilisema wake za Marais wawe wanalipwa???... Inamaana Hilo Jimbo hakuna mwanaccm mwenye akili timamu anayeweza kugombea....Hadi kurudia kuleta rubbish🙇
Jina la mwisho kaka, urasimu ni mkubwa mnoHii ni zaidi ya futuhi.