Pre GE2025 Salma Kikwete: Wanawake tusifanye ajizi, rafiki wa mwanamke ni mwanamke. Tupige kura za kihistoria kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, amewahamasisha wanawake kote nchini kujitokeza kugombea nafasi za udiwani na ubunge, huku akiwataka kuwaunga mkono wanawake wenzao kwa kura nyingi, hususan mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, Salma alisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wanawake katika nafasi za maamuzi na uongozi.

Pia soma:
Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Lazima wanawake tusiwe na ajizi. Rafiki wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Anaposimama mwanamke, ni jukumu letu kumsaidia kwa hali zote. Tunawaomba wanaume mtuunge mkono, tunataka kura za kihistoria ambazo hazijawahi kutokea hapa Tanzania, barani Afrika, na ulimwenguni kote," alisema.
 
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, amewahamasisha wanawake kote nchini kujitokeza kugombea nafasi za udiwani na ubunge, huku akiwataka kuwaunga mkono wanawake wenzao kwa kura nyingi, hususan mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, Salma alisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wanawake katika nafasi za maamuzi na uongozi.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rafiki ya mwizi ni mwizi, ndege.... Huruka pamoja
 
Kwanini mtu achaguliwe sababu ni mwanamke na si sababu ya uwezo wake?

Huyo Salma ni fisadi huyu akiwa anavuta mafao ya ubunge ndio aliyeasisi mchakato wa wenza wa wastaafu kulipwa mafao .

Wachumia tumbo kama hawa ukiwaona wanampigia mtu upatu sana ujue wananufaika na ubovu wake kiuongozi?
 
Nani atashangaa baada ya sheria za kulipa wenza wa Maraisi? Kujengewa maikulu na bado kupewa ubunge wakati ni kilaza!!
 
Kwanini mtu achaguliwe sababu ni mwanamke na si sababu ya uwezo wake?

Huyo Salma ni fisadi huyu akiwa anavuta mafao ya ubunge ndio aliyeasisi mchakato wa wenza wa wastaafu kulipwa mafao .

Wachumia tumbo kama hawa ukiwaona wanampigia mtu upatu sana ujue wananufaika na ubovu wake kiuongozi?
Hii familia imetawaliwa na tamaa ya mali na uchu wa madaraka. Ni familia isiyotoshheka. Nikuwapuuzia tu hawana sera.
 
Back
Top Bottom