Pre GE2025 Salma Kikwete: Wanawake tusifanye ajizi, rafiki wa mwanamke ni mwanamke. Tupige kura za kihistoria kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Toka kuwa 1St lady hadi kuwa mbunge, huyu mama ni muongo, mlafi, mwizi na hatosheki. Lol
 
Katika misiba aliotuachia Magufuli ni pamoja na kutuachia nchi kumilikiwa na mwanamke.
 
Toka kuwa 1St lady hadi kuwa mbunge, huyu mama ni muongo, mlafi, mwizi na hatosheki. Lol
Haha 😄 mnamlaumu madam pres bure....kuna watu ndy wameshikilia remote 😄

Oba
 
Back
Top Bottom