Pre GE2025 Salma Kikwete: Wanawake tusifanye ajizi, rafiki wa mwanamke ni mwanamke. Tupige kura za kihistoria kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchawa na uchawi
 
Waziri ajaye huyu ....
 
Wanapiga kura kuchagua kiongozi bora au wanapiga kura kwa sababu ya urafiki!!
 
Wanaume wangetangaza wapigiane kura wanawake wangelalamika.
 
Huyo bibi akiitwa mpumbavu atakasirika?
 
Huyu kasahau, rafiki mzuri wa mwanamke ni mumewe kama ilivyo kwake kwa rais wangu msitaafu na mcheshi

Kwa tamko hili katutenga wanaume?
 
Huyo naye ni sawa chawa tu. Ni muomini wa maslahi binafsi tu. Mdisahau alijidifu kwa kupendekeza wenza wa marais wapewe mishahara na hata wakishastaafu wsendelee kulipwa. Tumbo tu na ubinafsi ndio ameweka mbele. Hao wenza wa marais wadtaafu kulipwa toka mfuko wa umma hadi kufa yeye anaona ni haki.
 
Wabinafsi sana hii familia, na haijawahi kuridhika kwa lolote, wanakamua nchi kulia na kushoto
 
huyu mama hata wanawake wanamshangaa kwani adui wa mwanamke ni mwanamke
 
"Lazima wanawake tusiwe na ajizi. Rafiki wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.

Kwa mtazamo wake huo ana maana "adui wa mwanamke ni mwanaume"
 
INASIKITISHA kwa kweli! Akili zao sijuwi zikoje?!
🤬🤬🤬🤬🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…