cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 7, 2025 #41 Toka kuwa 1St lady hadi kuwa mbunge, huyu mama ni muongo, mlafi, mwizi na hatosheki. Lol
Tukundane JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 11,993 Reaction score 9,212 Mar 7, 2025 #42 Katika misiba aliotuachia Magufuli ni pamoja na kutuachia nchi kumilikiwa na mwanamke.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Mar 7, 2025 #43 cocastic said: Toka kuwa 1St lady hadi kuwa mbunge, huyu mama ni muongo, mlafi, mwizi na hatosheki. Lol Click to expand... Haha 😄 mnamlaumu madam pres bure....kuna watu ndy wameshikilia remote 😄 Oba
cocastic said: Toka kuwa 1St lady hadi kuwa mbunge, huyu mama ni muongo, mlafi, mwizi na hatosheki. Lol Click to expand... Haha 😄 mnamlaumu madam pres bure....kuna watu ndy wameshikilia remote 😄 Oba