Salome

Sammuel999, baada ya kuongea upupu wooote humu ndani na kumwaga povu unaweza thread ya kupooza vita! Something sinister utakuwa umepata info Uhuru ataomba JPM aruhusu maize iuzwe huko watu njaa inawaua! Mark my words itakua kwenye agenda kesho..
Leo niko in a tolerating mood .....i will allow it!!!


Kesho magu anakuja kuomba msaada!! Alafu akimaliza aanze hizi:
 
Kama rais mzima aliamua kupiga push ups kwa rally mbona asiombe msaada middle income
 
Unaanzisha ugomvi
Kijana
Leo team imeenea utaumia humu
Leo hatuendi jukwaa la siasa
Wacha uchokozi tutakushambulia
Huyu jamaa angekuwa na akili timamu angetulia tu. Maana nchi yake ni maskini wa kutupwa.
 
Kwikwikwikwi ndio ujue sasa kati ya TZ na Kenya yupi anahitaji msaada.
Au unataka tukuweke uchi zaidi?
Nionyeshe picha ya 2013+

Otherwise Kesho mtapata msaada
 
Msaaaaaaada msaaaaada msaaaaada msaaaada kesho mtapata .....kutoka wazungu wenu wawaache bila mumeteseka lakini kama wakenya tuko hapa kuwasaidia .......mpatapata msaada kote kote ....tutajenga barabara Arusha Na mlima wetu mtatupa kesho ......Tutawapa mafunzo jinsi ya kumanage parks kesho ....tutajenga hospitali Dar na Dodoma ....tegeeni muone .....ule wa morocco alikuwa childs play.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…