Salome

Sammuel999 majuzi nimewatoa mapovu meuuupe na ufahamu wewe na wenzio issue ya uliouita ustaarabu wa Polisi wenu Northern Frontien! %-)
 
Sammuel999 majuzi nimewatoa mapovu meuuupe na kugonga dari kwa kujitoa ufahamu wewe na wenzio issue ya mliouita ustaarabu badala ya ufalafala wa Polisi wenu Northern Frontier! Ukiona jirani analia na ku-rush na neno hate jua umemshika pabaya %-)!
 
Mpaka Jana
Nairbi mchele kilo ilikuwa Ksh 136
Sawa na Tsh 2995-3000

Wakati Leo Dar ulikuwa Tsh 1000-1500
Nani ananjaa
Siku gani mchele kilo ni 136???? Mchele kilo ni 80/- wacha porojo
 
Sammuel999,there's a parody to this song done by Eric Omondi inaitwa "Sang'ombe"
Its been hilariously done!Tafta YouTube :-D
Nimeiona hehe naisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadahani unahangaika na muundo wa sentensi za kiswahili. Hebu jaribu kuandika kwa kingereza tukusaidie kuandika kiswahili vizuri.
Kiswahili cha Kenya hiki. Hakina shida lakini. Ni ndugu zetu hawa.
Wasichana wa Kenya wanatupenda sana watz.. Sio siri..
 
MOTOCHINI and game over, Wakenya wanalilia Tanzanian dream utawaskia kesho wakiomba waje kufanya kazi bila permits land of opportunities! Mchele bwerere, maize bwerere, maharagwe bwerere! Uwembo bwerere! Vitunguu na nyanya bwerere! Air travelling bwerere! Utalii bwerere! Gesi bwerere! internet data transfer affordability bwerere!
 
Hata kura za Amina baada ya Zuma kumuambia Uhuru inabidi amlambe miguu the real Godfather wa SADC block H.E. JPM zitakuwa bwerere! Au sio Sammuel999 :-*
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] is tanzanian deeam a thing???? NIGERIANS THINK TANZANIA IS A KENYAN COUNTY ....GIVE ME A BREAK MAN
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] is tanzanian deeam a thing???? NIGERIANS THINK TANZANIA IS A KENYAN COUNTY ....GIVE ME A BREAK MAN
Nadhani ule ugonjwa wako bado unakusumbua. Mwisho wa siku utakuwa kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…