Salum Mwalimu amuoa, Moza Ally aliyekuwa mgombea ubunge CHAUMMA Kinondoni

Kwahiyo Moza ndio kaolewa na huyo Salum Mwalimu?

Ndio uhuni uliokuwa unafanyika Chadema kuwapa ubunge wa viti maalum mahawara zao.

Tabia ya kishamba sana hii, yani Bongo inavyoonesha taswira halisi wanawake wa Bongo movie na kwenye siasa waowane wenyewe kinyume chake utakuwa unawaolea watu.

Sasa huyu Kileo ana gundu gani manzi wa pili huyu watu wanaruka naye.!!
 
Matola Habari yako
 
Mngekuwa mnatumia nusu ya nguvu mnazotumia kupambana na Chaumma katika mapambano yenu na CCM mngekuwa mbali sana. Hao ni watu wazima na wana haki ya kuooana kama wanataka. Haswa kwa sababu dini yao inaruhusu.

Achaneni ni mambo ya Chaumma, yanawapotezea focus katika mambo muhimu zaidi.

Amandl...
 
Huyu ni mke wa pili wa mgombea urais wa ubwabwa au alikuwa hana mke?
Inamaana angeshinda urais tungekuwa na rais msela/bachela.

Aisee wanachama wa siasa wanachezewa shere sana na wanasiasa.
 
Wala hakutaka kushinda, alipanga kutumika tu
 
Back
Top Bottom