Salum Mwalimu amuoa, Moza Ally aliyekuwa mgombea ubunge CHAUMMA Kinondoni

Salum Mwalimu amuoa, Moza Ally aliyekuwa mgombea ubunge CHAUMMA Kinondoni

Kileo hana bahati kabisaa..!!
Hili goma si lilikuwa lake?
Ni muda sasa atafute kazi atunze wanawake lasivyo kila siku atakimbiwa. Hakuna mwanamke anataka mzigo..!!
 
Sheikh si umefunga wewe 🙂🙂🙂
Astakafiru nimepitiwa maalim
1771548495150.jpg
 
KAZI na utu,ni kweli wanasonga.mbele kama ilani yetu ya chama inavyotaka wafanye!
 
Hii ndoa bado ipo active au washa gawana mbao,,?
Walishagawana mbao kitambo sana na kila mtu akachukua 50 zake na kila mtu akaenda kuanzisha uhusiano mpya...JK bado yupo na brazamen wake ila HK kapigwa kitu kizizto na SM.
 
Back
Top Bottom