Salum Mwalimu amuoa, Moza Ally aliyekuwa mgombea ubunge CHAUMMA Kinondoni

Salum Mwalimu amuoa, Moza Ally aliyekuwa mgombea ubunge CHAUMMA Kinondoni

Ulitaka uolewe wewe? Mwanaume mzima umejaa Umbeya Tu
. Yaani Ma CHADEMA Sijui huwa mnafikiria kupitia nini .
CHADEMA wanaingiaje hapa wewe *****?
Tuliza kishundu au bwana wa Chadema alikupiga miti ukapata mimba yake akakutelekeza maana kila muda unaiota na kuweweseka mvaa skuna wa Lumumba!
Shabhashhhh!
 
Ulitaka uolewe wewe? Mwanaume mzima umejaa Umbeya Tu
. Yaani Ma CHADEMA Sijui huwa mnafikiria kupitia nini .
Hiki chama sijui kilikupopobawa luka? Yaani kimekukaa mdomoni kuzidi mate yako
Screenshot_20250923-194018.jpg
 
Chadema wanasubiria washike dola ndio waoe.
 
Habar nilizo kuwa nazo baada henry kileo kumwagana na joyce akampata MOZA sasa leo moza kawa mke wa salum dah inaumiza sana

Vp yeriko naye alipiga kwa moza tusanueni tujue!
 
Hongera kwao, wakawe na Ndoa njema nafurahi sana nikiona Mwanaume na Mwanamke wameoana na kujirasmisha kua ni Mke na Mume
 
Huko CHAUMA ni uhuni tu ulikua unafanyika/umalaya umalaya tuu
 
Back
Top Bottom