Astakafiru nimepitiwa maalimSheikh si umefunga wewe ๐๐๐
Hii kiboko ๐น๐นView attachment 3545986View attachment 3545987Adui hatoki mbali
Yeah ni member mwenzetu.Huyu dada yangu joy kumbe nae yupo humu๐
Walishagawana mbao kitambo sana na kila mtu akachukua 50 zake na kila mtu akaenda kuanzisha uhusiano mpya...JK bado yupo na brazamen wake ila HK kapigwa kitu kizizto na SM.Hii ndoa bado ipo active au washa gawana mbao,,?