Salum Mwalimu: Uchaguzi ulikuwa na matatizo, tusingeshiriki huo uchaguzi usingejadiliwa leo

Salum Mwalimu: Uchaguzi ulikuwa na matatizo, tusingeshiriki huo uchaguzi usingejadiliwa leo

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema uchaguzi mkuu wa 2025 ulikuwa na matatizo

 
Back
Top Bottom