Ukiwa na sera nzuri mashirika yataendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana! Na hapo kwenye sera ndipo serikali ya CCM imefeli vibaya
What is wrong with this? Jingalao dunia nzima sasa hivi ni private sector. Marekani serikali haina kampuni.Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi.
Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Naamini kuwa CCM ikiwa chama cha upinzani basi ndani ya mwaka tu itakuwa kama NCCR na CUF maana kumejaa mamluki na wachumia tumbo isivyo kawaida.chadema inashindwa hata kuendesha Ofisi yake halafu unaongelea kuendesha nchi? Mbowe ni lini mara ya mwisho alifika Ofisini Mtaa wa Ufipa na kufanya kazi? Ukienda sasa hvi utakuata Ofisi yake na secretary kila kitu ikifanya kazi au ana ofisi nyigine binfasi mjini?
sasa... wakifanya exactly kama CCM nini maana ya kuwa chama mbadala??Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi.
Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Yaani tanesco wapewe net solutions waliofungulia bwawa la mtera Hadi likakauka, mitambo ya kinyerezi apewe kaka ruge na bohora, wapuuzi hawaMwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi.
Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Naamini kuwa CCM ikiwa chama cha upinzani basi ndani ya mwaka tu itakuwa kama NCCR na CUF maana kumejaa mamluki na wachumia tumbo isivyo kawaida.
Matacko wewe, GPS Ni Mali ya Nani?What is wrong with this? Jingalao dunia nzima sasa hivi ni private sector. Marekani serikali haina kampuni.
you are bloody communists
Hiki Ni kijiwe
Kumbe CCM ni wakommunist wakubwaHatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Matacko wewe, GPS Ni Mali ya Nani?
Hapo ndiyo maana unaona kwa nini kuna tofauti kati ya mikoa ya zama zile [Kilimanjaro, Bukoba, Iringa ] Vs [Mtwara, Tabora, Dodoma]Wewe upo juu sisi tupo juu katikati na chini.
Hivi TTCL ilikuwa hoi kwa sababu gani na imerudi kuwa hai kwa sababu gani?
Net solutions ilikuwa kampuni iliyoletwa na CCM . Chadema hawatafanya huo ujinga. Wao wataleta kampuni competent zenye uwezo na nitajitahidi uhakikaYaani tanesco wapewe net solutions waliofungulia bwawa la mtera Hadi likakauka, mitambo ya kinyerezi apewe kaka ruge na bohora, wapuuzi hawa
Sio tusiwape usiwape ww mwenyewe unataka kuchukulia kila mtu ni mtori Kama wwTusiwape nafas
Sera ipi,unayoizungumzia!Ukiwa na sera nzuri mashirika yataendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana! Na hapo kwenye sera ndipo serikali ya CCM imefeli vibaya
You are learned and wise.Huku Kuna baadhi ya watu ni vilaza hawajui kitu au wameloa na ushabiki wa vyama vyao hata hawajui Kama benki zote zinazo fanya vizuri hapa Tanzania zina ubia na private partnership Kama NBC,CRDB,NMB?makampuni ya simu na wanafanya vizuri,,makampuni yanayomilikiwa na serikali 100% yapo hoi Kama TTCL,,pia idara ya maji ipo hoi Kama siyo kupigwa jeki na kampuni la JR kwenye kusambaza maji,TANESCO nao wapo hoi ndio maana wanatoa kadarasi kwenye usambazaji wa umeme,
Wewe huna exposure, ignorant, uninformed cant (don’t confuse with can’t). anyway you can learn even at your late age, internet is not only for browsing porn. Education can make you wiseSera ipi,unayoizungumzia!
Acheni unafiki,
Acheni ubabaishaji,mnajiona kila kitu mko smart sana,kumbe ni hopeless.
Umeiona ofisi ya warren buffet? Na Gari anayoendesha? Halafu anakula McDonald’s takeaway