Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Najua mkibahatika kunifahamu mnanichambua in and out. Ila na hakika mtanifungulia njia maana najua wengi wenu humu ndani njaa zinawasumbua (sio wewe lakni)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamanii
 

Daaah
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁you have made my day.
 
Nachukua tahadhari tu kama za kigogo cheupe.

Nimecheka sana umeamuambia sky nawe umepata amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatuvuruga weweee
Utatufanya tulogout mwakaa [emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
 
Ila mdada alianza mwenyewe
hata kama mkuu. mwanaume kamili haezi jibizana humu anasolve mambo yake huko Kwa pm.unajua matusi huwa inawauma sana wadada kuliko ss wanaume. tuwahurumieni basi hawa viumbe wanaroho ndogo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mchuzi wa Mbwa huliwa ukiwa wa moto....
 
Nimecheka sana umeamuambia sky nawe umepata amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatuvuruga weweee
Utatufanya tulogout mwakaa [emoji125]‍♀[emoji125]‍♀[emoji125]‍♀
Sky Eclat anajiheshimu sana sidhani kama ataweza fanya hivyo, ila tu nawaza ule mtongozo niliokuwa nampa wa nguvu itakuaje siku akiweka mambo hadharani, itanibidi nipotee tu humu ndani.

Halafu wewe ni mzuri sana ingawa kuna vikasoro vidogo vidogo unavyo ambavyo hata mimi kama binadamu ninavyo, si unajua kuna kupitiwa tena. Nashangaa unaogopa nini?
 
yaani mkuu ni shidaa .mtu unayemfahamu na I'd yake.mkitafautiana tu kidogo hata ki idea anakuja na I'd fake nakuanza kukutukana na kurusha pic hapo hapo. aisee wanaume tuachane hii tabia tunawakosesha warembo amani.
Unaambiwa hivi jf id hazizidi 20 zikiunganishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁you have made my day.

Nb. Usisahau kuja niomba samahani
 
Huyu Dada anaeongelewa hapa ni mganga wa kienyeji angalia tu kumcheka kwake kukakuponzaa
 

Kwani mkuu umekunywa nini leo maana si kwa mapovu haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…