Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

Jambo merytina....mimi iko musungu kabisa........niko tatulia veve shida yako yote kabisa....mimi iko musungu ndani yangu, ila kwa inje iko hapana musungu....sasa hebu vasiliana na mimi.......

Shindwa Fataki! Lakini umenifurahisha sana kwa ulivyopangilia،
 
images

Ondoa hizi laana hapa
 
dahhhhhhhhh
ntakacho kwambia ni hiki
Mzungu ..Make love then sex
Mwafrica. sex, have a rest then more sex..

kweli sikushauri kufanya hivyo

kama una date ( una boyfriend)
lakini ukiwa single help your self
then PM me hahahah lol
 
Mwacheni mwenzenu jamani kaelezea hisia zake hapa.....go and get ur wish MeryTina Arusha si wapo wengi tu

Ingekuwa huku *Chunya* nilipo, ingekuwa ngumu

So simply itabisi ujitongozeshe...:israel:

mkuu upo wapi?
 
Hivi wewe mdada una akili timamu? kwa nini usiende kusimama barabarani ukakamilisha huo UKAHABA WAKO? Kweli ukistaajabu ya MUSA utaona FARAO.

Kwa hiyo huyo mmsai wako nae? awe mume ***** kama ulivyo shetani? Chunga sana wazungu unaowatamani, hakuna kitu kiko ndani yake.

Sorry kama nimekutusi nina hasira na wewe ningekuona ningupa maneno magumu sana, bahati yako!

huwa una maneno makali sana caroline danzi.
Punguza ukali wa maneno ili ujumbe ufike vizuri.
Samahani kama nimekukwaza.
 
Ukimwi ndiyo maana unatumaliza Waafrika!!

Ukiachilia mbali wengi wa wanaompinga mleta mada, yaani hamna hata mmoja kati ya wachache wanaoonekana kuwa-liberal na kumuunga mkono mdada huyu wanaomshauri afanye ngono salama katika kutimiza hayo matamanio yake. Basi, mimi kama mmoja wa wachache wanao okay tamanio lako nasema - enenda, kapate huyo mzungu, lakini kumbuka kufanya ngono salama ili kujilinda wewe na yule umpendaye.

If anything, mimi nadhani hapa linaloonekana ni jinsi gani wabongo tulivyo wanafiki. Oooh usifanye hivi, usifanye vile... what about her needs! Yes, her needs and not wants (since a convergence between needs and wants exists)! Mojawapo likiwa hilo la kutamani kulala na mzungu kabla hajaolewa. Maana kashasema anampenda huyo Mmasai wake, lakini angependa tu kulala na mzungu kabla hajaingia kwenye pingu ya maisha. This sounds so wrong and undignified, especially when told in public yet so prevalent and unhindered. Yeah right, com'on people, let's face it, how many times this happens katika jamii yetu??!

Merytina, this might sound absolutely bonkers, but mimi nakushauri uongee tu na huyo Mmasai wako... Jaribu kuwa na maongezi naye ya faragha katika mwelekeo wa kumdadisi vilevile yale yaliyo matamanio yake, iwapo kama naye anayo upate kujua, ni yapi, lini, wapi na kwa yupi. Uwezekano kwamba Mmasai wako naye atakuwa anatamani kudinya watu wasio asili yake waweza kuwa mkubwa tu. If the two of you talk about this and agree, it could be possible kuwa mnakubaliana kufanya jambo hili kwa usalama zaidi kabla ya ndoa yenu na kufungua chapter mpya mkiwa mme-banish completely matamanio ya ajabu. Waliosema dawa ya moto ni moto walilenga mengi ati... maana katika kutokomeza uwepo wa hisia chafu katika relationship, yawezekana kupandikiza hisia hizo mwanzoni mwanzoni yaweza kuwa ni chanjo mbadala.

Kingine Merytina, naona umesisitiza mara kadhaa kuhusu nia yako ya kufanya jambo hili mara moja na kuacha nalo. Cha ajabu wachangiaji wengi wanaonekana kubeza msimamo huu, kwa kudhania kuwa utafanya mara moja na mara baada ya hapo - kujichongea mzinga kabisaa! Katika jambo hili na kulingana na baadhi ya hoja za wachangiaji, kuna jambo kubwa linaonekana miongoni mwetu Wabongo, ambalo ni la kutokuwepo kwa misimamo katika magumu tunayochagua kuyafanya. Ya kwamba, pale mtu unapojisemea kufanya jambo fulani ule msimamo wa kusema nitafanya jambo hilo na kuachana nalo mara baada hatuna. Yaonekana wengi maamuzi kama haya hatuyawezi. Katika hili wengi tunaonekana kuamini katika mapungufu yetu ya kutenda jambo, liwe la dhambi au la thawabu na kuendelea kulitenda jambo hilo pasipo kikomo pale panapohitajika. In short, we show lack of volition.

Where there is a will there is a way! Do it, do it safe. Fool your emotions, live with regrets. Abandon your morals, live with the consequences!!
 
dahhhhhhhhh
ntakacho kwambia ni hiki
Mzungu ..Make love then sex
Mwafrica. sex, have a rest then more sex..

kweli sikushauri kufanya hivyo

kama una date ( una boyfriend)
lakini ukiwa single help your self
then PM me hahahah lol
hapo red:kivipi dear?au ki.............
 
namtahadharisha huyu mamaa kuwa wazungu hawatahiriwi wengi wao na naishi nao huku,sasa utakulaje koni mamiii sii itakuwa imechachaa?Mtunze vema mmasai wako atakuopa raha uitakayo...kama alivokushauri Pearl mwili wako hekalu la roho mtakatifu.
hapo red: Namtunza sana na ninabahati kuwa naye pia ana bahati kuwa na mimi. Hapa munaniona mdhambi just bcs sifichi hisia zangu hata kama zinakinzana na wengi.
 
Ukimwi ndiyo maana unatumaliza Waafrika!!

Ukiachilia mbali wengi wa wanaompinga mleta mada, yaani hamna hata mmoja kati ya wachache wanaoonekana kuwa-liberal na kumuunga mkono mdada huyu wanaomshauri afanye ngono salama katika kutimiza hayo matamanio yake. Basi, mimi kama mmoja wa wachache wanao okay tamanio lako nasema - enenda, kapate huyo mzungu, lakini kumbuka kufanya ngono salama ili kujilinda wewe na yule umpendaye.

If anything, mimi nadhani hapa linaloonekana ni jinsi gani wabongo tulivyo wanafiki. Oooh usifanye hivi, usifanye vile... what about her needs! Yes, her needs and not wants (since a convergence between needs and wants exists)! Mojawapo likiwa hilo la kutamani kulala na mzungu kabla hajaolewa. Maana kashasema anampenda huyo Mmasai wake, lakini angependa tu kulala na mzungu kabla hajaingia kwenye pingu ya maisha. This sounds so wrong and undignified, especially when told in public yet so prevalent and unhindered. Yeah right, com'on people, let's face it, how many times this happens katika jamii yetu??!

Merytina, this might sound absolutely bonkers, but mimi nakushauri uongee tu na huyo Mmasai wako... Jaribu kuwa na maongezi naye ya faragha katika mwelekeo wa kumdadisi vilevile yale yaliyo matamanio yake, iwapo kama naye anayo upate kujua, ni yapi, lini, wapi na kwa yupi. Uwezekano kwamba Mmasai wako naye atakuwa anatamani kudinya watu wasio asili yake waweza kuwa mkubwa tu. If the two of you talk about this and agree, it could be possible kuwa mnakubaliana kufanya jambo hili kwa usalama zaidi kabla ya ndoa yenu na kufungua chapter mpya mkiwa mme-banish completely matamanio ya ajabu. Waliosema dawa ya moto ni moto walilenga mengi ati... maana katika kutokomeza uwepo wa hisia chafu katika relationship, yawezekana kupandikiza hisia hizo mwanzoni mwanzoni yaweza kuwa ni chanjo mbadala.

Kingine Merytina, naona umesisitiza mara kadhaa kuhusu nia yako ya kufanya jambo hili mara moja na kuacha nalo. Cha ajabu wachangiaji wengi wanaonekana kubeza msimamo huu, kwa kudhania kuwa utafanya mara moja na mara baada ya hapo - kujichongea mzinga kabisaa! Katika jambo hili na kulingana na baadhi ya hoja za wachangiaji, kuna jambo kubwa linaonekana miongoni mwetu Wabongo, ambalo ni la kutokuwepo kwa misimamo katika magumu tunayochagua kuyafanya. Ya kwamba, pale mtu unapojisemea kufanya jambo fulani ule msimamo wa kusema nitafanya jambo hilo na kuachana nalo mara baada hatuna. Yaonekana wengi maamuzi kama haya hatuyawezi. Katika hili wengi tunaonekana kuamini katika mapungufu yetu ya kutenda jambo, liwe la dhambi au la thawabu na kuendelea kulitenda jambo hilo pasipo kikomo pale panapohitajika. In short, we show lack of volition.

Where there is a will there is a way! Do it, do it safe. Fool your emotions, live with regrets. Abandon your morals, live with the consequences!!

Be blessed!
Katika wachangiaji wote wewe ndiye uliyenielewa na kutoa maoni neutral
Watu hawataki kuliona hili la only 'once'
pia wengi tu wanamatamanio kama yangu sema 'unafiki' mtupu
 
Hata mimi nawashangaa,

Binafsi kuna mdada mmoja humu JF, kama ningefanikiwa kumlala siku moja tu.....roho yangu ingetulia.....Sijui kwanini, lakini ndo hisia zangu na sipendi ushauri wa mtu...

Huyu dada huyu...dah....ngoja niishie hapo!
 
Hivi bibi ODM amerudi kitandani ama?
 
Uki back to the topik: nakubaliana na wewe kwa 100% kuwa walio olewa/ kuoa wanaongoza kwa maambukizi, we si unaona wanavyotamani, mara mzungu, kesho mwarabu, jmosi mchina n.k. Sasa Fidel kwa mpango huu bora nini?? Usiseme hit & run coz nayo si salama kivile.

Ndo maana mimi naogopa kutangaza ndoa hivi hivi unamuhifadhi mtu home alafu vidume vinakumegea kiulainiiii utakosa ngoma hapo?
 
Hivi bibi ODM amerudi kitandani ama?

ODM yuko kitandani, anataka kumlala binti flani hivi wa JF. Tatizo binti mwenyewe hata hajui hii bahati inayomtemmbelea.

Kulalwa na babu, ni bahati!
 
Hehee.! Hao WAARABU hawataki kwa kupenda kwao kupitia mlango wa uwani.!
 
Hata mimi nawashangaa,

Binafsi kuna mdada mmoja humu JF, kama ningefanikiwa kumlala siku moja tu.....roho yangu ingetulia.....Sijui kwanini, lakini ndo hisia zangu na sipendi ushauri wa mtu...

Huyu dada huyu...dah....ngoja niishie hapo!

Skulimet,

hapo red/underline/bold inabidi nirudi kwenye Tenzi za Rohoni:-
...
(3) Mkononi sina kitu,Ila msalaba wako
Ni mtupu, nipe nguo; Ni mnyonge nipe nguvu;
Niondolee taka; Nitakase sijafa.

Mwamba wa kale; kwako nitajificha;
 
sichukii hisia zako,lakini nakuchukia ww na mawazo mgando uliyonayo,huna mapenzi ya dhati,huna hofu ya Mungu,magonjwa,kifo,yani huna tofauti na wanaojilipua mabomu,nadhani na ww ni mmoja wa wale wafuasi wa uncle Osama,unatudhalilisha wanawake wenzio/dada zako/mama zako,najua ur under 18 :A S-baby::A S-baby::A S-baby:lakini washwahili husema samaki mkunje..........,ww umeshindikanika,mtu gani unaelekezwa huskii?eti mara moja,alafu?eti ujiridhishe matamanio kesho utatamani Tigo,kesho kutwa maskioni ,puani mpaka sijui wapi!Kwann lakini?Mbona una pepo mbaya sana?mdogo wangu ebu kaa chini jiangalie kwenye kioo jiulize unamapungufu yapi,jione Mungu alivyokuumba kwa sura na mfano wake,jione mema yote aliyokupa na madhambi yote uliyofanya lakini yy ni mwingi wa huruma na upendo na anakusamehe kila siku za maisha yako,ebu jaribu kumwambia jinsi pepo wa ngono anavyokuandana,vuta sura ya yule mmasai wako alivyoumba kwa upekee,jaribu kuona ule weusi wake wa kiafrika unavyongaa na kupendeza,jaribu kuona yale meno yake yalivyopangana na kung'aa,jaribu kuona ule urefu wake kama wa twiga,alafu angalia yale manjonjo yakle mkiwa kuleeeeeeeeee.............,huoni kama Mungu kakupendelea sana kukupa mtu wa pekee na akupendae kwa dhati?
Pearl hapa hatujuani kwa sura kwa hiyo sina haja ya kusema uongo.
Hapa JF nawekaga mawazo ambayo naogopa kumwambia yeyote anayenifaham so hizi ni hisia zangu za kweli
Hapo race zingine siwataki naturally so siwezi kabisa
Only ' mzungu once' and i never break the rules nijiridhishe tu matamanio yangu
 
Back
Top Bottom