Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

Takwimu zinasema kuna chansi kubwa mwanamke kufake kufika climax kuliko nyoka kukung'ata na kukumwagia sumu
 
Kila mtu afunge magoli yake bila assist
 

Swala zuri Kweli..... inategemea..... Kama mme ni goigoi hata ukimwambia hawezi badilika hauna hapa ya kumpa masikitiko..... usimwambie, ila shauri namna ya kufanya mapenzi ambayo utakupelekea wewe kufikia lengo.....
 
Kileleni kwa utawala wa sasa hata sisi tunapretend kufika!
 
Sasa kwanini uwe unapretend, si bora mwambie ukweli tu kuliko kumuacha akishughulika mwisho wa siku kumbe wewe una-act, mapenzi hisia [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mapenzi inabidi ujijali mwenyewe kwa sababu ile ni raha ukijifanya ujafika sina mpango kabisa labda dem aseme hapo nampiga dozi ya fansida
 
Kwa mwanaume anayekaza ke wengi huwezi kumdanganya,kwa sababu anakuwa na uzoefu mkubwa ni rahisi kujua huyu anaigiza au hapana;kwa sababu unapokuwa unataka kufika kileleni kuna utamu utakuja kwako na kwa sekunde chache unaweza kupoteza kumbukumbu
 
Kuanzia leo usiku kama huna mood mwambie achezee kidude hicho hadi kitoe mma[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji2954][emoji2954][emoji2954][emoji2954]
 
Kwa mwanaume anayekaza ke wengi huwezi kumdanganya,kwa sababu anakuwa na uzoefu mkubwa ni rahisi kujua huyu anaigiza au hapana;kwa sababu unapokuwa unataka kufika kileleni kuna utamu utakuja kwako na kwa sekunde chache unaweza kupoteza kumbukumbu
Ni kweli kabisa
 
Kisura chako kimekaa kiwiziwizi wa mapenzi...huyo jamaa kama anakuamini basi ni mgeni kwenye sekta hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe hata ukiniambia gdnyt lazima nitoke nje nikahakikishe kama kwel usiku umeingia
Ha ha haaa,nimecheka kwa sauti.daa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…