Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

Swala zuri Kweli..... inategemea..... Kama mme ni goigoi hata ukimwambia hawezi badilika hauna hapa ya kumpa masikitiko..... usimwambie, ila shauri namna ya kufanya mapenzi ambayo utakupelekea wewe kufikia lengo.....
Asante sana
 
Ya Uongo Inafahamika Kabisaaaa.

Ya Ukweli bila hata mgugumuo/stereo nayo inafahamika
 
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu. Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano. Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
Huwa tunagundua ila ndo ivo na sisi hatupendi kujichosha sana msijemkatua bure
 
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
None of our bussines
 
Wanaume wajanja skuhiz hatujali umefika au hujafika,mi nachojali je mim binafsi nmefika..
Yani niache kujijali mim nikujali wew...we kama unataka kufika kilelen basi fika kwa juhud zako
 
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
We zuga tu kuwa kama mdoli tu haina tofauti huwa tunalizika na hali yoyote cha msingi umetoa mzigo kwa baba watoto
 
Hahahaha ..we kiumbe naomba nikubadili na Savannah
Kisura chako kimekaa kiwiziwizi wa mapenzi...huyo jamaa kama anakuamini basi ni mgeni kwenye sekta hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe hata ukiniambia gdnyt lazima nitoke nje nikahakikishe kama kwel usiku umeingia
 
Kama una mume kweli basi huna siku nyingi utachepuka wewe trust me, kama umeanza ku act mmh.

Na kisingizio utakacho tumia ni kuwa huna hisia na mumeo so hufiki kileleni.
 
Ha ha haa,kabisa
Huyo jamaa yako ana moyo sana. Mimi mwanamke huwa nampima kwenye maongezi kwanza na kumchezea sehemu pendwa nikiona hakuna ushirikiano huwa nahirisha gemu sababu huwa naona kama nabaka halafu utanichosha sana sababu kunakuwa hakuna ushirikiano wowote. Mkiwa kwenye mood wote gemu huwa linakuwa tamuu sana. Unapiga mashuti golini unaona kabisa kipa anajituma kudaka mpira halafu kuna muda unaona kabisa anakuvuta jezi yaani nakung'ang'ania. Ukimaliza ukimwangalia usoni unaona kabisa hakuna makunyazi yoyote. Mwingine anakupongeza kabisa kwa kukupa asante. Kukutana na mwanamke ambaye hana hisia ni sawa na kubeba kilo 150 begani.
 
Wanawake kuna wakati migogoro zingine mnaanzisha ninyi kwa kukusudia ama pasipo kukusudia.
Anyway, hakuna dawa na suluhisho kubwa kwenye mahusiano/ndoa zaidi ya ninyi wawili kuzungumza. Na ili mazungumzo yenu yazae matunda chanya, basi yapaswa mmoja kati yenu ajishushe ili muweze kupata suluhisho.
 
Back
Top Bottom