Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,063
Sasa sisi tungundue inatuhusu? Utajijua mwenyewe na kuigiza kwako. Kwanza sisi tukishashusha mzigo hua hatuna time ya kujua kilichojili upande wa pili
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?