Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

Sasa sisi tungundue inatuhusu? Utajijua mwenyewe na kuigiza kwako. Kwanza sisi tukishashusha mzigo hua hatuna time ya kujua kilichojili upande wa pili
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
 
Wanawake wengi wana-fake lakin hawafiki popote.
Sasa kwa nini u-fake kwa mtu wako, kwa nini usimwambie ajue kuwa you're not there yet? Mtaendelea kukosa uhondo kwa kujificha hivyo..
 
Elewa kitu kimoja.

Naturally, mwanaune ni selfish kwenye sex. Anaangalia starehe yake. Akifika ndiyo habari imeisha. Ukifake orgasm, hayo ni ya kwako.
 
Sasa kwa nini u-fake kwa mtu wako, kwa nini usimwambie ajue kuwa you're not there yet? Mtaendelea kukosa uhondo kwa kujificha hivyo..
Hatujifichi ila wanaume huwa mnajiangalia nyie tu mkishamaliza basi. Sasa unamwambia hujafika limtu lishalala huko mxiewwww
 
Nimesema kuna muda unakuwa hufeel,mwenzio anauhitaji wa hali ya juu
KAma unampa support mwenzio kuna hajagani kujua kama ww hukuridhika? Na kwanini isiwe kama ss wanaume tunakua tumeridhishwa man ushirikiano wako?
 
Hatujifichi ila wanaume huwa mnajiangalia nyie tu mkishamaliza basi. Sasa unamwambia hujafika limtu lishalala huko mxiewwww
Mshirikishe bwana, mtu anayekujali lazima atajali mahusiano yenu kitandani. Lakini pia na wewe utambue mwili wako vizuri, zile sensitive parts muonyeshe ili iwe rahisi kwake kukufikisha juu ...
 
Wee pretend weee unavyoweza.

Mwanaume ..sisi wanaume letu ni moja

Ukishakojoa shahawa zako mambo ni poaaaaa kabisa.

Uwe unapretend umefika au lah sisi ilo hamna.

Tena, ni wachache tulobakia ambao tunatizama kama mwenzako kafika kilelen au lah.

So ukipretend ni juu yako wewe
 
mbona halijakaa kama swali?naona tu kama unatufikishia taarifa ila ukwel n kwmba real man tunawajua ila tunavunga tu
 
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
Hilo hata kabla hujauliza linafahamika hususan zile swaga zenu Ooooo...h baby you are killing me while in actual sense their is no an act of killing some one.
 
Back
Top Bottom