Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Kwa bei hiyo nakubaliana na jibu lako...kwamba kuzalisha umeme wa tambiko
Ila pia kama itafanya watanzania wote wamsujudie na kumtukuza mkulu basi inaweza kununuliwa na kila mtanzania akapata kipande chake[emoji23]
 
Kuna kipindi Cha televisheni kule National Geographic kinaitwa Wicked Tuna..kinahusu uvuvi wa Hawa samaki ila hawa wanavuliwa baharini..na wanavuliwa kwa msimu na kwa idadi maalum..ni wakubwa sana na wana stake safi Sana.
Nimefuatilia sana kipindi cha Wicked Tuna.
 
Jodari akichanganywa na mihogo iliyoungwa na nazi halafu pembeni ukawa unashushia na sharubati ya tufaa hakika ni mlo mtamu sana...
Tufaa ni nini kiongozi?

Umenifanya nijiskie kula kwasasa
 
Tufaa ni nini kiongozi?

Umenifanya nijiskie kula kwasasa
Hilo hapo mkuu.
Wengine huita "apple".
images.jpeg
 
huyo samak anayeuzwa mil 70 ana nini cha ziada? [emoji23][emoji23]
Mfupa wake wa uti wa mgongo ukiusanga na kuchanganya na asali na ndimu na karoti iliyosangwa una mix na maji ya uvungu vungu ukawa unakunywa mara mbili kwa siku ndani ya siku kumi mfulilizo kama ulikuwa na tatizo la nguvu za kiume basi tatizo lako litaisha kabisa na utapiga goal 7
 
Teh teh teh

Sangara walipandikizwa ziwa victoria na hadi leo wamezaliana wamekuwa wengi na wanavunwa hadi leo na kuingiza mapato kwa wavuvi na taifa.
Soma uzi unavyosema. Tunaongelea TUNA.
Sangara mkuubwa buku jero.
Vipi kijana.
Umepiga Mataptap au?
 
Back
Top Bottom