Mpyena
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 981
- 1,243
Jamaa umenichekesha mbayaSiku watakayo wapandikiza wanavunwa siku hiyo hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa umenichekesha mbayaSiku watakayo wapandikiza wanavunwa siku hiyo hiyo
Kwa bei hiyo nakubaliana na jibu lako...kwamba kuzalisha umeme wa tambikoKuzalisha umeme
Ila pia kama itafanya watanzania wote wamsujudie na kumtukuza mkulu basi inaweza kununuliwa na kila mtanzania akapata kipande chake[emoji23]Kwa bei hiyo nakubaliana na jibu lako...kwamba kuzalisha umeme wa tambiko
Recently I head a project about cold water lobsters in a certain country. I was wondering as well inf it could be possible to have cold water tuna.Samaki wa maji chumvi apandwe Kwenye maji baridi?
Nimefuatilia sana kipindi cha Wicked Tuna.Kuna kipindi Cha televisheni kule National Geographic kinaitwa Wicked Tuna..kinahusu uvuvi wa Hawa samaki ila hawa wanavuliwa baharini..na wanavuliwa kwa msimu na kwa idadi maalum..ni wakubwa sana na wana stake safi Sana.
Si kweli.
Kuna sababu kubwa kwanini bei yake ni kubwa na kwanini hawako Tz
Tufaa ni nini kiongozi?Jodari akichanganywa na mihogo iliyoungwa na nazi halafu pembeni ukawa unashushia na sharubati ya tufaa hakika ni mlo mtamu sana...
You mean fresh water!Recently I head a project about cold water lobsters in a certain country. I was wondering as well inf it could be possible to have cold water tuna.
Hilo hapo mkuu.Tufaa ni nini kiongozi?
Umenifanya nijiskie kula kwasasa
Mfupa wake wa uti wa mgongo ukiusanga na kuchanganya na asali na ndimu na karoti iliyosangwa una mix na maji ya uvungu vungu ukawa unakunywa mara mbili kwa siku ndani ya siku kumi mfulilizo kama ulikuwa na tatizo la nguvu za kiume basi tatizo lako litaisha kabisa na utapiga goal 7huyo samak anayeuzwa mil 70 ana nini cha ziada? [emoji23][emoji23]
Mfupa wake wa uti wa mgongo ukiusanga na kuchanganya na asali na ndimu na karoti iliyosangwa una mix na maji ya uvungu vungu ukawa unakunywa mara mbili kwa siku ndani ya siku kumi mfulilizo kama ulikuwa na tatizo la nguvu za kiume basi tatizo lako litaisha kabisa na utapiga goal 7
Fuatilia lile sakata la samaki wa Magufuli mwanzo hadi mwisho wake, utanielewaKwa nini ufanye hivyo wakati bahari tunayo na samaki tunao?
Kama samaki 1 million 70 japani wangefunga viwanda vya safari haki ya nanai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo samak anayeuzwa mil 70 ana nini cha ziada? [emoji23][emoji23]
Yes fresh waterYou mean fresh water!
Bei hiyo ni ndogo kwa bluefin tuna.Si kweli nini?
Soma uzi unavyosema. Tunaongelea TUNA.Sangara walipandikizwa ziwa victoria na hadi leo wamezaliana wamekuwa wengi na wanavunwa hadi leo na kuingiza mapato kwa wavuvi na taifa.