Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.

Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.

View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Huyu ni samaki wa maji chumvi ( baharini),hawezi kuishi ziwani......hapa kwetu wapo kibao, kama huyo ni Tsh 60,000 to Tsh 80,000
 
Teh teh teh teh.
Dah....
Kweli watu mnajua matusi
Mkuu nimeshangaa aliposema buku jero wakati samaki mmoja wa sangara mwenye uzito wa kilo moja mpaka nne kilo moja yake ni sh 3600!

Kilo tano mpaka tisa kilo moja yake ni sh 8000!
Kumi mpaka kumi na tano ni sh 9000!

Tena hiyo ni bei ya visiwani!
 
Tuna ni maji chumvi ferry hapo unampata mara chache sana,then ukampandikize ziwani Victoria 🤔?
Hii sayansi wabongo mmenishinda
 
Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.

Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.

View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Jodari anauzwa Milioni 70? Wa uzito gani? Mbona wanauzwa elfu 35 wa size ya kilo 3?
 
ila kwa wale wenye uzito mkubwa ambapo huweza kufikia kg 250
 
1143924
 
Yaani mpaka nimeshangaa, hivi ni kweli wananunuliwa kwa milioni 70 wakati mimi nikinunua bei kubwa ni 15 elfu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
Labda anasema wale wa Atlantic ambao wanafika mpaka 380kg
 
Nikisikia ndipo kuna mazalia makubwa ya papa. Ni ule uelekeo wa kwenda thanda Island
Jibondo kuna mazalia na ni kitovu cha uvuvi huko Mafia. Ila uelekeo tofauti na ilipo Thanda, Thanda iko kaskazini mwa Kilindoni na Jibondo iko kusini.
 
Back
Top Bottom