kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Njoo kamanga.Mkuu Sangara gani wa buku jero huyo!!
Wapo wa kumwaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kamanga.Mkuu Sangara gani wa buku jero huyo!!
Kumbe unamaanisha kipande cha sangaraNjoo kamanga.
Wapo wa kumwaga
Huyu ni samaki wa maji chumvi ( baharini),hawezi kuishi ziwani......hapa kwetu wapo kibao, kama huyo ni Tsh 60,000 to Tsh 80,000Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.
Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Teh teh teh teh.Kumbe unamaanisha kipande cha sangara
Mkuu nimeshangaa aliposema buku jero wakati samaki mmoja wa sangara mwenye uzito wa kilo moja mpaka nne kilo moja yake ni sh 3600!Teh teh teh teh.
Dah....
Kweli watu mnajua matusi
Si jodari huyu mkuu au ndo aitwa tuna hivyohivyo.Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.
Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Wapo Tanzania ,meli ya magufuli ilisheheni Tuna.Kuna sababu kubwa kwanini bei yake ni kubwa na kwanini hawako Tz
Jodari anauzwa Milioni 70? Wa uzito gani? Mbona wanauzwa elfu 35 wa size ya kilo 3?Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.
Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Kwa nini wanaita bahari dume?Hawa uvuvi wake hutumika kwa mshipi?
Nyuma ya kisiwa cha jibondo Mafia ile bahari dume wanapatikana Hawa
Ova
Kuna kina kirefu na mawimbiKwa nini wanaita bahari dume?
Nikisikia ndipo kuna mazalia makubwa ya papa. Ni ule uelekeo wa kwenda thanda IslandKuna kina kirefu na mawimbi
Alafu maji mazito kimuonekano
Ova
Shukrani kwa kunijuza..Mkuu wala si watamu nyama yao nyeusi. Ukienda Zanzibar wapo kibao. Samaki mtamu na mwenye bei ni redsnapper
Labda anasema wale wa Atlantic ambao wanafika mpaka 380kgYaani mpaka nimeshangaa, hivi ni kweli wananunuliwa kwa milioni 70 wakati mimi nikinunua bei kubwa ni 15 elfu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
AppleTufaa ni nini kiongozi?
Umenifanya nijiskie kula kwasasa
Jibondo kuna mazalia na ni kitovu cha uvuvi huko Mafia. Ila uelekeo tofauti na ilipo Thanda, Thanda iko kaskazini mwa Kilindoni na Jibondo iko kusini.Nikisikia ndipo kuna mazalia makubwa ya papa. Ni ule uelekeo wa kwenda thanda Island