Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

Hayo nilishayazungumza kule juu yote.
Ni sawa unarejelea kilichozungumzwa.
Pia wewe unatakiwa utizame kwa umri wako na kazi ufanyayo na afya yako unahitaji zaidi aina ipi ya chakula kuliko kingine,na vilivyobaki ule kwa kiwango gani.
Nini maana ya Balanced ? Nadhani hapa tunaanza kwenda pengine wakati mimi nilisema neno moja tu kukujibu kwamba mlo muhimu kuliko yote katika siku ni Breakfast; hayo mengine sasa tunaanza kuingia kwenye technicality
 
Aya umepatia mkuu mchana mwema.
 
kuna sehemu nilitaka kununuA nyama choma peke yake, nikaambiwa lazima ninunue na ugali
Au nenda kwenye haya mahoteli tunayokula tukisafiri kwa mabasi ya mikoani,halafu jifanye mjanja kuomba chips kavu peke yake.Hawataki,ni lazima ununue na nyama ya kuku,ng'ombe,samaki n.k
 
kuna sehemu nilitaka kununuA nyama choma peke yake, nikaambiwa lazima ninunue na ugali
Unaweza kwenda kwa mama ntilie ukaomba ununue maharage peke yake ? (Nadhani hapo kwa maneno mengine ni kwamba bei ya ugali na nyama choma na ugali pekee bei ni ileile labda wewe ungetoa pesa ya nyama choma na ugali alafu ukawaambia niwekee nyama peke yake watu kama nyie tukiwapa loophole hamchelewi kuomba mnunue chumvi mkapike nyumbani...
 
Dah ,,,,,too much thinking is harmful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…