Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kuna sehemu nilitaka kununua Mboga peke yake nikaambiwa haiwezekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakula kinatakiwa kiendane na shughuli unazofanya kulingana na nishati mwili inavyohitajika kuanzia kifungua kinywa,chamcha mpaka chajio.Breakfast inatakiwa iweje?
Elimu ya lishe na umaskini ni tatizo kubwa Africa, hata kuna matajiri wakubwa ila elimu ya lishe ni shida!Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao ni ugali, wali, ndizi, viazi n.k inakuwa nyongeza tu, ina maana hata usipokula wanga utalipa bei ile ile tu ya nyama, kuku au samaki. Kama wewe sio mla nyama bei itabadilika.
Sasa kwa mama ntilie inakuwa kinyume chake, chakula kikuu ni wanga ambao ni ugali, wali, ndizi n.k halafu nyama, kuku, samaki inakuwa kama nyongeza tu. Halafu huwezi kusema unataka kula nyama, kuku au samaki tu, ukitaka hivyo huwezi kuuziwa chakula na inaweza kuzua hata ugomvi!
Na nyumba nyingi za Watanzania ulaji ni kama huo wa mama ntilie, hii inaweza kumaanisha uduni wa maisha japo tunajigamba kuwa na chakula kingi.
Kikawaida asubuhi hutakiwi kula sana unatakiwa upate wanga kiasi kidogo na protini kiasi kidogo.Breakfast inatakiwa iweje?
Wanga kidogo sio kuwa inategemeana na kazi anayoifanyaRule of thumb, binadamu anatakiwa kula wanga na mafuta kidogo ukilinganisha na makundi mengine ya chakula.
Rule of thumb, binadamu anatakiwa kula wanga na mafuta kidogo ukilinganisha na makundi mengine ya chakula.
Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao ni ugali, wali, ndizi, viazi n.k inakuwa nyongeza tu, ina maana hata usipokula wanga utalipa bei ile ile tu ya nyama, kuku au samaki. Kama wewe sio mla nyama bei itabadilika.
Sasa kwa mama ntilie inakuwa kinyume chake, chakula kikuu ni wanga ambao ni ugali, wali, ndizi n.k halafu nyama, kuku, samaki inakuwa kama nyongeza tu. Halafu huwezi kusema unataka kula nyama, kuku au samaki tu, ukitaka hivyo huwezi kuuziwa chakula na inaweza kuzua hata ugomvi!
Na nyumba nyingi za Watanzania ulaji ni kama huo wa mama ntilie, hii inaweza kumaanisha uduni wa maisha japo tunajigamba kuwa na chakula kingi.
Kwa mtu aliyewahi Kula samaki Sato villa park Mwanza, Yule Sato mkubwa peke yake unashiba, ukitaka kuongeza uzito labda Kigali ngumu Tu au chips kiasi Tu, lakini unakula samaki mkubwa wa foil mwenye vegetable kwenye foil unashiba, na kama huna msuli huyo Sato peke yako humalizi.Jamaa anazungumzia kuchukulia Nyama, samaki kama mboga, hicho ni chakula, haijalishi.
Nyama sio mboga ni full chakula the same kwa Samaki.
Hata ugari ni chakula pia kwa levo zetu, the same na wali, au matunda
Wengi hamfahamu ukweli, asubuhi binadamu ndio unatakiwa Kula na kushiba vizuri.Kikawaida asubuhi hutakiwi kula sana unatakiwa upate wanga kiasi kidogo na protini kiasi kidogo.
Mathalan chai,mkate wenye blue band ama jam na yai inatosha.
Mkate protein na blueband ina protein na fats yai lina protein.
Inatosha kwa hiko kiwango.
tutakimbiana sahivi miili imeharibika nguo zinastiri sana hizi...🤣NA WALIKUWA hawavai nguo, hizi nguo ni vitu tumerithi kwa wazungu, tuachane nazo
Wali, Chips, Samaki Tilapia, Maziwa, Kuku, Maharage, Njegere, Mayai ya Kukaanga, Nyama , Viazi, Soda, Juice, Asali na Maji.Ngoja tumuulize kwanza huyu mshikaji wetu, et GENTAMYCINE we unakula nini kama lishe bora huko UGANDA?
Achana na hiyo, chukua hii kama huwezi kutumia hand/fist rule, katika sahani moja nzima
- Eat Most - Grains.
- Eat More - Vegetables and fruits.
- Eat Moderately - Meat, fish, egg and alternatives (including dry beans) and milk and alternatives.
- Eat Less - Fat/ oil, salt and sugar.
- Drink adequate amount of fluid (including water, tea, clear soup, etc) every day.
Hapo mkuu fish eat more and fruits eat moderate,nyama nyeupe hususan ya samaki nzuri sana kwa afya.
- Eat Most - Grains.
- Eat More - Vegetables and fruits.
- Eat Moderately - Meat, fish, egg and alternatives (including dry beans) and milk and alternatives.
- Eat Less - Fat/ oil, salt and sugar.
- Drink adequate amount of fluid (including water, tea, clear soup, etc) every day.
Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao ni ugali, wali, ndizi, viazi n.k inakuwa nyongeza tu, ina maana hata usipokula wanga utalipa bei ile ile tu ya nyama, kuku au samaki. Kama wewe sio mla nyama bei itabadilika.
Sasa kwa mama ntilie inakuwa kinyume chake, chakula kikuu ni wanga ambao ni ugali, wali, ndizi n.k halafu nyama, kuku, samaki inakuwa kama nyongeza tu. Halafu huwezi kusema unataka kula nyama, kuku au samaki tu, ukitaka hivyo huwezi kuuziwa chakula na inaweza kuzua hata ugomvi!
Na nyumba nyingi za Watanzania ulaji ni kama huo wa mama ntilie, hii inaweza kumaanisha uduni wa maisha japo tunajigamba kuwa na chakula kingi.
Je nasisi tunaokula ugali mkubwa na ugali mdogo kama mboga unatuweka kundi ganiKwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao ni ugali, wali, ndizi, viazi n.k inakuwa nyongeza tu, ina maana hata usipokula wanga utalipa bei ile ile tu ya nyama, kuku au samaki. Kama wewe sio mla nyama bei itabadilika.
Sasa kwa mama ntilie inakuwa kinyume chake, chakula kikuu ni wanga ambao ni ugali, wali, ndizi n.k halafu nyama, kuku, samaki inakuwa kama nyongeza tu. Halafu huwezi kusema unataka kula nyama, kuku au samaki tu, ukitaka hivyo huwezi kuuziwa chakula na inaweza kuzua hata ugomvi!
Na nyumba nyingi za Watanzania ulaji ni kama huo wa mama ntilie, hii inaweza kumaanisha uduni wa maisha japo tunajigamba kuwa na chakula kingi.
Do! mama ntilie wakati mwingine unaweza kufikiri hawajui wanachotafuta, unaweza kwenda kununua chapati tupu wakakukatalia kuwa hawauzi bila chai, haya siku nyingine unaenda unataka chai tupu hawataki tena!Sasa kwa mama ntilie inakuwa kinyume chake, chakula kikuu ni wanga ambao ni ugali, wali, ndizi n.k halafu nyama, kuku, samaki inakuwa kama nyongeza tu. Halafu huwezi kusema unataka kula nyama, kuku au samaki tu, ukitaka hivyo huwezi kuuziwa chakula na inaweza kuzua hata ugomvi!