Ina shida kama tano mkuu ukiila kwa wingi.Nyama nyekundu haina shida yeyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina shida kama tano mkuu ukiila kwa wingi.Nyama nyekundu haina shida yeyote.
Umenichekesha, sichekaji ila nimechekaNakuelewa mtoa hoja..ni kweli badala ya kula SAMAKi na KAUGALI,sisi tunakula Li Ugali na kasamaki..ndio maana tuna vimiili vidogoo
Hata hilo hujui?Lishe bora ni nini na chakula ni nini?
Unajua au unaandika kishabiki??Nyama nyekundu haina shida yeyote.
Naona unafigo za spare kazanaNajua
Dooh!Wali, Chips, Samaki Tilapia, Maziwa, Kuku, Maharage, Njegere, Mayai ya Kukaanga, Nyama , Viazi, Soda, Juice, Asali na Maji.
Akili za kijinga sana hizi 👆🏻Kikubwa wote wanaenda chooni.
Breakfast is the most important meal of the day sababu una break the fast....Kikawaida asubuhi hutakiwi kula sana unatakiwa upate wanga kiasi kidogo na protini kiasi kidogo.
Mathalan chai,mkate wenye blue band ama jam na yai inatosha.
Mkate protein na blueband ina protein na fats yai lina protein.
Inatosha kwa hiko kiwango.
Wewe unaejinasibu kuwa mwerevu pambana na hali yako.Akili za kijinga sana hizi 👆🏻
Kichwa cha thread kinauliza swali tofauti na contents za thread. Sasa wewe unataka tujibu nini wakati umetoa habari ya kuhabarisha tu? Ndio maana mnafeli vyuoni jamani.Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao ni ugali, wali, ndizi, viazi n.k inakuwa nyongeza tu, ina maana hata usipokula wanga utalipa bei ile ile tu ya nyama, kuku au samaki. Kama wewe sio mla nyama bei itabadilika.
Sasa kwa mama ntilie inakuwa kinyume chake, chakula kikuu ni wanga ambao ni ugali, wali, ndizi n.k halafu nyama, kuku, samaki inakuwa kama nyongeza tu. Halafu huwezi kusema unataka kula nyama, kuku au samaki tu, ukitaka hivyo huwezi kuuziwa chakula na inaweza kuzua hata ugomvi!
Na nyumba nyingi za Watanzania ulaji ni kama huo wa mama ntilie, hii inaweza kumaanisha uduni wa maisha japo tunajigamba kuwa na chakula kingi.
Pia unatakiwa ule kiafya sio kwa kulimbikiza vyakula tumboni.Breakfast is the most important meal of the day sababu una break the fast....
Sasa kuna zaidi ya kiafya zaidi ya balanced diet ?Pia unatakiwa ule kiafya sio kwa kulimbikiza vyakula tumboni.
Hayo nilishayazungumza kule juu yote.Sasa kuna zaidi ya kiafya zaidi ya balanced diet ?
Pili inategemea unafanya kazi gani chakula ni nishati na maisha ya watu tofauti yana matumizi tofauti ya nishati Kwahio sio chakula tu bali unahitaji exercise ku-burn excess fat...