Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo

Kuna kipindi nilisikia ana bajaja 40 na daladala kama utitiri.

Ila biashara ya vyombo vya moto kwangu Mimi naiona kama biashara kichaaaaa

Unaweza kufilisika siku na saa yoyote.

Ila jamaa pia nasikia ana vyumba za kutosha.
Kuna wakati nilisikia anashirikiana na mkuu wa wilaya Kigamboni Sara Msafiri kudhulumu ardhi za watu nikamtafuta kumuonya sikimpata inawezekana alitapeliwa pesa yake yote na matapeli wa serikalini wakimwahidi ardhi za watu
 
Umejibiwa na wengi kwamba mtu atumiavyo pesa zake ni suala binafsi.

Na pia ujue sio uwekezaji wote huonekana na umma. Kuna mambo kama hatifungani, mifuko ya unit trusts, hisa, nk mtu anaweza kuweka kitita akajua mwenyewe.
Elimu nzuri umempatia na yaonekana Hana academic exposure kuanzia level ya degree maana haya angeyafahamu na hakika asingekuja na mada kama hii. Watu kama hawa daima kuangalia material things peke yake kama ndio maendeleo.
He must deal with his personal life na si maisha ya wengine.
 
View attachment 2674110

Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo.

Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea mshahara mkubwa na marupu rupu nje ya mshahara, kwa mshahara wake tu alikuwa akilipwa kwa mwezi takribani milioni 450 za Kitanzania, ukitoka Kodi na matakataka mengine anabaki na kama milioni 350 hapo nje ya marupu rupu.

Tunaomjua karibu Samata tunashindwa kuelewa kuwa zaidi ya nyumba ya Kigamboni hatujaona amefanya chochote cha maana na chakueleweka na ndio anafikia mwisho wake. Tofauti na wenzie kina Adebayor, Mane, ambao wameweka alama lakini wamefanya uwekezaji mkubwa sana.

Kama Samata ameshindwa kumanage funds alizopata na anazopata, basi Watanzania inabidi tujiangalie na tujiterekebishe. Katika hili hatuwezi kumlaumu Wema Sepetu, wala Irene Uwoya kwakuwa Samata alikuwa si mtu wa hizo mambo.

Natoa hoja.

Hakuna hoja hapa ni umaskini unakusumbua tu
 
Elimu nzuri umempatia na yaonekana Hana academic exposure kuanzia level ya degree maana haya angeyafahamu na hakika asingekuja na mada kama hii. Watu kama hawa daima kuangalia material things peke yake kama ndio maendeleo.
He must deal with his personal life na si maisha ya wengine.
Nina Degree Mbili na biashara zangu za Real estate hiyo ni kidogo tu, naweza kukulisha wewe na mkeo mpaka mwishoni wenu
 
View attachment 2674110

Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo.

Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea mshahara mkubwa na marupu rupu nje ya mshahara, kwa mshahara wake tu alikuwa akilipwa kwa mwezi takribani milioni 450 za Kitanzania, ukitoka Kodi na matakataka mengine anabaki na kama milioni 350 hapo nje ya marupu rupu.

Tunaomjua karibu Samata tunashindwa kuelewa kuwa zaidi ya nyumba ya Kigamboni hatujaona amefanya chochote cha maana na chakueleweka na ndio anafikia mwisho wake. Tofauti na wenzie kina Adebayor, Mane, ambao wameweka alama lakini wamefanya uwekezaji mkubwa sana.

Kama Samata ameshindwa kumanage funds alizopata na anazopata, basi Watanzania inabidi tujiangalie na tujiterekebishe. Katika hili hatuwezi kumlaumu Wema Sepetu, wala Irene Uwoya kwakuwa Samata alikuwa si mtu wa hizo mambo.

Natoa hoja.
Hayakuhusu.
 
Samata sio mtu wa show off ila ana vitu vingi sana anafanya ana kampuni ya utalii ipo arusha kuna jamaa anayesimamia ile sama kiba foundation ndio anasimamia na pia ana coaster zinalala pale uwanjani mbagala zinaenda mkurunga lakini ni vichache tu ukiachana na mashamba sema sio mtu wa show off.
 
Life style ya Samatta inaendana sana na ya Alikiba, hawa watu hawapendelei sana kuexpose maisha yao na mafanikio yao. Na ndio maana wanaelewana sana, ni washkaji haswa.
Kweli mkuu kama ali kiba pale kariakoo kuna mtaa ana maduka ya spare ya vifaa vya magari upande wote ni wa kwake sema bongo kila mpaka lazima upost ndio watu waamini.
 
Una point aisee. Sasa vijana wengine watapata vipi molari ya kucheza nje kama aliecheza nje maendeleo yake yamejificha kama ya Wachezaji wa Simba na yanga. Mbona tunajua shilole ana mgahawa , nani kamloga kwa kujua hivyo? Kijana aweke biashara zake wazi ili apate wateja zaidi na vijana wengine wawe motivated Hakuna atakae mloga, mbona hamjamloga Mo na Barekhesa.
 
Wewe umeongea fact, fact kabisa
 
Ni bora aendelee tu kufika utajiri wake.

Wabongo wengi wachawi na wapiga mizinga.
 
View attachment 2674110

Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo.

Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea mshahara mkubwa na marupu rupu nje ya mshahara, kwa mshahara wake tu alikuwa akilipwa kwa mwezi takribani milioni 450 za Kitanzania, ukitoka Kodi na matakataka mengine anabaki na kama milioni 350 hapo nje ya marupu rupu.

Tunaomjua karibu Samata tunashindwa kuelewa kuwa zaidi ya nyumba ya Kigamboni hatujaona amefanya chochote cha maana na chakueleweka na ndio anafikia mwisho wake. Tofauti na wenzie kina Adebayor, Mane, ambao wameweka alama lakini wamefanya uwekezaji mkubwa sana.

Kama Samata ameshindwa kumanage funds alizopata na anazopata, basi Watanzania inabidi tujiangalie na tujiterekebishe. Katika hili hatuwezi kumlaumu Wema Sepetu, wala Irene Uwoya kwakuwa Samata alikuwa si mtu wa hizo mambo.

Natoa hoja.
Kwani amewahi kukuomba chochote mkuu? Au umewahi kumuona akiishi maisha ya kushoboka?
Kama una uhakika kuwa amecheza vilabu vikubwa na alikua akipokea hela kubwa basi ujue pia amejufunza kuishi bila kelele na kuifanyia kazi hela yake bila kelele.

Tofauti na wewe ambaye ukipata hela ya bundle tu unakuja kupiga makelele humu kwa nyuzi zako ili wote tujue kuwa umeweka bundle la milioni 400.
 
Back
Top Bottom