Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo

Una uhakika hiyo milion mia nne au unaleta story za vijiweni
We jamaa bana, unadhani anacheza Simba au Yanga sehemu ambayo ata akiwa anacheza Kaka yako huwezi kujua mshahara wake

Me nimesema kama unataka kujua alikuwa analipwa vipi angalia payroll ya timu alizokuwa anacheza, ikiwemo Aston villa

Cha ajabu wewe ndio unakuja na habari za vijiweni, kazi kwako sasa kuleta source ingine kuthibitisha kuwa halipwi hizo pesa, mbona easy Tu
 
Uzushi haijawahi kupata iyo pesa
 
Nyumba moja inatosha kabisa, mwache ale bata
 
Wapi Samatta aliwahi sema mshahara wake hadharani kama sio nyinyi wenyewe mnaojiuliza na kujijibu wenyewe
 
Huo mshahara wa Samata ni mdogo sana!! Angekuwa anaupata akiwa hapa bongo sawa!! Hebu uliza kodi yake ya nyumba ni sh ngapi!! Uliza gari analotembelea sh ngapi! Usimlinganishe na kina Adebayo waliokuwa wanalipwa mabilioni kwa hela za bongo!!
 
Kuwekeza sio lazima nyumbani, au wewe ni Kidata umeangalia tax return umemuona ni non filer au ame file bila ya ku declare income from foreign source?
 
Unataka kumpangia mtu Hela yake,wewe nani? SI Kila mtu ni matangazo!
 
Utakuta jitu kama hili halina hata kigoda kwake kazi kufuatilia mambo yasiyomuhusu badala hata ujifunze kukaanga tu karanga kidogo ukauze upate kipato unakaa miaka yote hiyo na mawazo ya kingese ambayo hayana faida jitambue ndugu MAENDELEO NI KAMA CHUPI SIO LAZIMA KILA MTU AYAONE
 
Kwani wewe ni financial advisor wake? Mind your business dude.......
afadhali umemwambia ukweli. Hivi ni lazima huyo Samata atoe mpango wake wa maendeleo kwa jamii?

Wawache umbea waendelee na maisha yao na yeye na yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…