Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Niasse anacheza Cardiff city kwani ni fund mbona anacheza jamaa now amesha Ivaaa
 
Naona liver na chelsea wanamuwania
No way!
Itakuwa klabu za kawaida zisizocheza UEFA Champions league. Ndio maana anasema angependa kucheza Premier league ingawa kucheza UEFA CL ni kitu kikubwa.
 
'Mchaw sio lazima apae na ungo
 
Nahisi angeanza na Spain kwa timu zenye kiwango cha wastani kama Sevilla, Valencia
 
Asubili acheze Primary stage ya EUEFA
Kama wakitoboa sawa ataonekana.
 
Sera za utekaji na watu wasiojulikana ndiyo kipaumbele cha awamu ya tano!
 
ningependa aende ligi ya ujerumani bundesliga timu kama borusia dotmund,
 
Niasse anacheza Cardiff city kwani ni fund mbona anacheza jamaa now amesha Ivaaa
Sijakataa kuwa kaiva, Samatta hawezi kucheza ligi za nguvu kama ya MLS na EPL atakuwa majeruhi kila msimu kwa namna ya uchezaji wake.

Uliitazama mechi yao waliyotangaza ubingwa dhidi ya Anderlecht? Samatta alikuwa kama Toy kwa kifupi abaki Genk acheze UEFA akikutana hata na CSKA Moscow ndipo angalau aanze kujitathmini akikurupuka kwenda Crystal palace kisa Wilfred Zaha anaondoka Haki ya Mungu utakuja kuniambia hatokuwa na lolote na atapigwa benchi EPL kuna wachezaji kibao wakiafrika ambao nauhakika huwajui ila wapo Arsenal, Liverpool na hawachezi ni backbenchers wakubwa na wengi ni wamisri
 
Nilijua uta_Google Samatta hana uwezo wa kucheza EPL trust me sasa aende aone atakavypotea huwezi kumlinganisha Kelvin De bruyne 1st class player wa dunia na Samatta ambaye timu yake yenyewe ya taifa iko chini ya Top 110.

Samatta hana ubavu wa ku_score hata magoli sita ligi ya uturuki kule kuna watu kama Mich batshuayi, Tshabalala n.k wanaona chamoto ligi ni nguvu nguvu sana Jupiter ni ligi nzuri ila si shindani
 
Tuweke pesa mkuu Mashahidi ni wachangiaji wa huu uzi naweka laki nane mezani nawe uweke.

Samatta akienda EPL atacheza timu ya daraja la kati.
Samatta hatofunga magoli zaidi ya saba kwa kila msimu hata akicheza misimu miwili (Kama ataondoka Genk bila kucheza UEFA).

Samatta atapata majeraha yatakayomuweka nje kwa msimu mzima.

Haya tu
 


Duuh. Hiiiiiiii vavaa
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
Kwani kajengea kodi zenu
 
Eti ulijua nitagoogle,kabla ya kuanza kujibizana na wewe niliona uongo wako ikabidi nijiridhishe.

Tofauti na google ulitaka nitafute wapi taarifa?au ulitaka nifunge safari mpaka maktaba ya taifa nikapate habari za soka kwenye vitabu vya TANU?

Siku nyingine jiridhishe kwanza kabla ya kuja kudanganya watu humu,hii sio facebook au group lako whatsapp huko.
 
Naungana na wewe mkuu, eti wanasema uingereza hapawezi utafikiri wachezaji wanaocheza uingereza wanatoka sayari mbali huko.

Wakati asilimia kubwa wachezaji wa timu za Uingereza timu zinasaka pande zote za dunia...

Wakati mwingine hata wachezaji wakubwa huchemsha epl na wachezaji wa kawaida wanaonyesha viwango wa kutisha.

Tatizo wabongo tunajidharau sana, lakini Samata kwa alipofikia sio viwango vyetu kabisa.

Mimi namwombea tu afanikiwe epl akigunga magoli hata kumi tu saba tu kwa msimu wa kwanza ni mafanikio makubwa sana kwake.
 

Akili za hovyo hovyo!
 
Everton naiona nafasi yake pale wale jamaa wako vizuri sana kiuchezaji wanamkosa tu mmaliziaji makini anayejua kukaa kwenye nafasi kwa wakati muafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…