Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.

Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.

Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
Niasse anacheza Cardiff city kwani ni fund mbona anacheza jamaa now amesha Ivaaa
 
Naona liver na chelsea wanamuwania
No way!
Itakuwa klabu za kawaida zisizocheza UEFA Champions league. Ndio maana anasema angependa kucheza Premier league ingawa kucheza UEFA CL ni kitu kikubwa.
 
Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.

Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.

Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
'Mchaw sio lazima apae na ungo
 
Nahisi angeanza na Spain kwa timu zenye kiwango cha wastani kama Sevilla, Valencia
Nani alitarajia Samatta angekuwa tegemeo alipoenda TP Mazembe?! Tena alienda kule akiwa kijana mdogo sana lakini alichofanya kule, haina haja ya kukirudia!

Kaenda Belgium, pia nani alitarajia angekuwa angekuwa ni moja ya wachezaji tegemeo pale Genk? Nakumbuka mwaka jana sijui alikuwa na injury vile; ikawa performance yake haikuwa mzuri kama msimu uliotangulia na watu wakasema jamaa keshaisha! Aliporudi uwanjani, ndo huyo tena! Mashabiki wa Genk hawatamani aondoke!

Sio hivyo tu, hata alipotoka African Lyon kwenda Simba! Pale alifika huku uongozi wa Simba ukimchukulia kama mchezaji anayepasa kuchukua uzoefu kwanza kutokana na udogo wake na pale aliwakuta "vingunge"! Yaliyobaki ni history!

So, ni kweli EPL ni very tough lakini am sure ata-adapt tu!
 
Asubili acheze Primary stage ya EUEFA
Kama wakitoboa sawa ataonekana.
 
Siasa na mpira haviendani acha uzwazwa wewe popoyo. Hakuna sera wala juhudi yeyote aliyofanya huyo unayemshukuru. AFCON tumebahatisha kwenda na pia ni wachezaji tu wenyewe wamekua na muamko kipindi hichi kutokana na mahudhurio ya washabiki kujaza taifa na mafanikio ya kina Samatta na Simba kimataifa la siivyo hakuna mchango wa serikali kabisa maana sera zetu ni mbovu sana na utekelezaji ni sifuri.
Sera za utekaji na watu wasiojulikana ndiyo kipaumbele cha awamu ya tano!
 
Niasse anacheza Cardiff city kwani ni fund mbona anacheza jamaa now amesha Ivaaa
Sijakataa kuwa kaiva, Samatta hawezi kucheza ligi za nguvu kama ya MLS na EPL atakuwa majeruhi kila msimu kwa namna ya uchezaji wake.

Uliitazama mechi yao waliyotangaza ubingwa dhidi ya Anderlecht? Samatta alikuwa kama Toy kwa kifupi abaki Genk acheze UEFA akikutana hata na CSKA Moscow ndipo angalau aanze kujitathmini akikurupuka kwenda Crystal palace kisa Wilfred Zaha anaondoka Haki ya Mungu utakuja kuniambia hatokuwa na lolote na atapigwa benchi EPL kuna wachezaji kibao wakiafrika ambao nauhakika huwajui ila wapo Arsenal, Liverpool na hawachezi ni backbenchers wakubwa na wengi ni wamisri
 
Kwanza kabisa maelezo yako yanajichanganya na unaandika tu bila research yoyote.
Genk na Fenerbahce mara ya mwisho wamekutana January 2013 kipindi hicho Sammata yupo TP Mazembe na mechi iliisha kwa draw ya goli moja moja.
Besiktas ni timu kubwa na wapo kwenye form nzuri msimu huu lakini ni kati ya timu ambazo Samatta kazifunga goli mbili katika uwanja wao wakiwa na wachezaji nyota na wazoefu kabisa kina Babel,Quaresma,Gary Medel,Vagner Love,Pepe na wengineo.
Give the boy the respect he deserves bhana.
Hao kina De Bruyne usingedhani kama wangeweza himili soka la Uingereza wakati akiwa Genk,lakini unaona kinachotokea.
Soka la mabavu na miguvu mingi linapotea kwa kasi sana Uingereza.
Nilijua uta_Google Samatta hana uwezo wa kucheza EPL trust me sasa aende aone atakavypotea huwezi kumlinganisha Kelvin De bruyne 1st class player wa dunia na Samatta ambaye timu yake yenyewe ya taifa iko chini ya Top 110.

Samatta hana ubavu wa ku_score hata magoli sita ligi ya uturuki kule kuna watu kama Mich batshuayi, Tshabalala n.k wanaona chamoto ligi ni nguvu nguvu sana Jupiter ni ligi nzuri ila si shindani
 
Nani alitarajia Samatta angekuwa tegemeo alipoenda TP Mazembe?! Tena alienda kule akiwa kijana mdogo sana lakini alichofanya kule, haina haja ya kukirudia!
Kaenda Belgium, pia nani alitarajia angekuwa angekuwa ni moja ya wachezaji tegemeo pale Genk? Nakumbuka mwaka jana sijui alikuwa na injury vile; ikawa performance yake haikuwa mzuri kama msimu uliotangulia na watu wakasema jamaa keshaisha! Aliporudi uwanjani, ndo huyo tena! Mashabiki wa Genk hawatamani aondoke!
Sio hivyo tu, hata alipotoka African Lyon kwenda Simba! Pale alifika huku uongozi wa Simba ukimchukulia kama mchezaji anayepasa kuchukua uzoefu kwanza kutokana na udogo wake na pale aliwakuta "vingunge"! Yaliyobaki ni history!
So, ni kweli EPL ni very tough lakini am sure ata-adapt tu!
Tuweke pesa mkuu Mashahidi ni wachangiaji wa huu uzi naweka laki nane mezani nawe uweke.

Samatta akienda EPL atacheza timu ya daraja la kati.
Samatta hatofunga magoli zaidi ya saba kwa kila msimu hata akicheza misimu miwili (Kama ataondoka Genk bila kucheza UEFA).

Samatta atapata majeraha yatakayomuweka nje kwa msimu mzima.

Haya tu
 
Duuh. Hiiiiiiii vavaa
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
Kwani kajengea kodi zenu
 
Nilijua uta_Google Samatta hana uwezo wa kucheza EPL trust me sasa aende aone atakavypotea huwezi kumlinganisha Kelvin De bruyne 1st class player wa dunia na Samatta ambaye timu yake yenyewe ya taifa iko chini ya Top 110.

Samatta hana ubavu wa ku_score hata magoli sita ligi ya uturuki kule kuna watu kama Mich batshuayi, Tshabalala n.k wanaona chamoto ligi ni nguvu nguvu sana Jupiter ni ligi nzuri ila si shindani
Eti ulijua nitagoogle,kabla ya kuanza kujibizana na wewe niliona uongo wako ikabidi nijiridhishe.

Tofauti na google ulitaka nitafute wapi taarifa?au ulitaka nifunge safari mpaka maktaba ya taifa nikapate habari za soka kwenye vitabu vya TANU?

Siku nyingine jiridhishe kwanza kabla ya kuja kudanganya watu humu,hii sio facebook au group lako whatsapp huko.
 
Write your reply...
nikisoma repry za watu humu napata ukakasi,hasira sana
samatta abaki genk kufanya nini? na umri unaenda?
pale epl atatakiwa kuwa misimu miwili au mitatu kuonesha ubora wake, sasa genk akibaki umri je? na tunajua waafrika kwa kudanganya miaka tulivyo!.
genk ni chuo pale sitaki kuwataja waliocheza pale sote tunawajua!
halafu kwanza ma striker aina ya samatta wanatakiwa na klabu nyingi za epl, pia samagoal ana kichwa cha kuelewa mfumo haraka mno. sasa kama kacheza soka gumu la hapa africa ambalo wanakaba man to man , why ashindwe kucheza soka la epl wanalokaba njia tuu mara nying? anajua kujiposition kitu ambacho hata gonzalo higuain kinamshinda! why ashindwe?
muda ni jaji mzuri sana tusubiri kama akienda tuone kama mashangingi ya soka hayajakimbia humu!.
halafu nani kasema kucheza europa ni kazi rahisi?
kule unakutana na team ambazo wachezaji wake wanatafuta majina so wanacheza kwa spirit na moyo!
man u,athletico madrid,walipochukua europa hamkusema wanafunga vi timu vidogo?
Naungana na wewe mkuu, eti wanasema uingereza hapawezi utafikiri wachezaji wanaocheza uingereza wanatoka sayari mbali huko.

Wakati asilimia kubwa wachezaji wa timu za Uingereza timu zinasaka pande zote za dunia...

Wakati mwingine hata wachezaji wakubwa huchemsha epl na wachezaji wa kawaida wanaonyesha viwango wa kutisha.

Tatizo wabongo tunajidharau sana, lakini Samata kwa alipofikia sio viwango vyetu kabisa.

Mimi namwombea tu afanikiwe epl akigunga magoli hata kumi tu saba tu kwa msimu wa kwanza ni mafanikio makubwa sana kwake.
 
Katika Nchi ambayo haiongozwi na mifumo ya kidini si vyema watu maarufu kuonesha imani zao za kidini kama hivi alivyofanya huyu mchezaji. Si vibaya mtu kuwa na faragha ya kufanyia ibada ya imani yake afanye tu, ila isiwe hadharani itapunguza exposure kuonekana kwa mashabiki wa imani tofauti. Huo Msikiti angeujenga baada ya kustaafu soka kama shukrani kwa mungu wa imani yake

Akili za hovyo hovyo!
 
Everton naiona nafasi yake pale wale jamaa wako vizuri sana kiuchezaji wanamkosa tu mmaliziaji makini anayejua kukaa kwenye nafasi kwa wakati muafaka.
 
Back
Top Bottom