Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Kwa hiyo unataka kutuambia wewe una akili kupita hao maskauti wa timu za Epl walimuona atafiti kwenye ligi?!
Mkuu usikurupuke sijasema hana uwezo wa kucheza EPL ila hana uzoefu mkubwa wa kumfanya akang'ae ile ligi ataenda timu za daraja la kati na pengine atakayoenda ikashuka daraja unategemea nini?

Anatakiwa abaki Genk angalau kwa msimu mmoja aonyeshe maajabu tena
 
Samatta angekuwa Msenegali ungeandika haya?!
Wasenegal hawakurupukiagi EPL mzee wanaanza ligi kama League 1 ligi ya Urusi, ligi ya italia, uturuki n.k

Na EPL wapo wachache ila ni wanakipiga hasa. Samatta timu aliyocheza ulaya ni moja tu tunamkuza sana Victor wanyama ka_hustle kacheza klabu zaidi ya tatu mpaka kufika Tottenham
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
Hayo ni mambo personal.

Mbona wewe ni yanga damu ila demu wako akivaa chuppi nyekundu humwambii aivue
 
Richarlison naona ni left winger. Sio striker. Huwa wanamfosi kuwa sriker kwa sababu hawana striker mzuri nafikiri.
 
Shukrani pekee zimweendee Rais kwa kufanya uoe na mama watoto ajifungue salama mtoto wa kiume.
 
Mmekomaa Kumtetea Kujenga Msikiti Kwenye Mjengo, Ilikuwa Na Maana Gani Kutangaziwa Kajenga Masjid? Zile Jezi Nzuri Kubuniwa Vile Povu Liliwatoka Na Kutaka Wachezaji Wa Imani Yake Wasivae. Msitutangazie Wanayofanya Kutukuza Imani Zao Ni Faragha Zao Wengine Hazituhusu
 
Hayo ni mambo personal.
Mbona wewe ni yanga damu ila demu wako akivaa chuppi nyekundu humwambii aivue
Sasa Iweje tutangaziwe kajenga msikiti kwenye mjengo wake? msikiti una faida gani kwa mashabiki wake wasio wa imani yake? ingebaki ni faragha yake. Shabiki wa ukweli wa yanga havai brand za simba
 
We jamaa 'kipele' sio bure...
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
Wewe ndio unaonesha udini hapa

Ricardo kaka alionesha waziwazi jinsi anavyomkubali yesu na mashabiki wake waislamu wala hawaloloma
Mo salah liverpool huko watu wanamuimba wanamsifia kwa tabia yake ya kushinda msikitini na kama akiendele kufunga magoli machache na watabadili dini...

Hakuna shabiki wa samata ambae atamaindi kisa kaamua kujenga msikiti kitu ambacho ndio imani yake, we ulitaka afanyaje sasa

Soka soka, dini dini.
 
Sasa Iweje tutangaziwe kajenga msikiti kwenye mjengo wake? msikiti una faida gani kwa mashabiki wake wasio wa imani yake? ingebaki ni faragha yake. Shabiki wa ukweli wa yanga havai brand za simba
Mbona mkinunua ndege mtangaza wakati ndege mnaoanda wenyewe.

Si mnyamaze? Au ccm wangapi mnapanda zile ndege?

After all lile tangazo wametangaziwa waislamu kama myerusalemu ulikiona basi ungelipita tu
 
kwani, kama atakuwa analipwa mshahara mkubwa wa mamilioni ya euro, hata akikaa bench kuna shida gani, kuliko kukaa ubelgiji awe anapokea vielfuelfu? mbona hamjui ujasiriamali ninyi? mwaka mmoja unapata hela ambayo ungepata Gent miaka 10.
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
Hii ipo nje ya mada,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…