Sambusa za nyama na juice ya matunda

😃😃Acha uvivu
Sasa Aaliyyah mwenzako nimekulia kwenye familia ya watoto watatu ambao wote ni wa kike isipokuwa mi unadhani ningeingia jikoni sisi mtoto wa kiume kuingia jikoni ilikua ni Marufuku nafukuzwa unaambiwa nifanye kazi za kutumia nguvu

Same applies kwetu msichana alikuwa haruhusiwi kufanya kazi za nguvu
 
Kma ndo ilikuwa hivo ni sawa mm ni firstborn so kilakazi uñahusika Yani ni mwendo wa mateka na babaang alikuwa anajua kupika mama nae ukikaa na baba utafanya kilakitu ukikaa na mama utafanya pia kazi chache ambazo nilikuwa sifanyi ni kufua ya. Hapo nilidekezwa had Leo sipendi kufua😂
 
😮‍💨Mtoto wa kike hupendi kufua na pants zako anafua nani Ata kama washing mashine ipo umeme ukikata vipi?
 
😮‍💨Mtoto wa kike hupendi kufua na pants zako anafua nani Ata kama washing mashine ipo umeme ukikata vipi?
Nafua na nikiwa na nguo chafu ndani nachukia alafu kibaya Zaid siwez rudia nguo nikivaa nguo siku 4 ni mzigo wa kutosha

Ni vile nilizoea kufuliwa Yan kazi yangu Ilikuwa kusuuza na kuanika had nakua Kua ilibidi nijizoeshe kufua now nafua sana tu lkn sio hobby km ilivo kupika naweza pika 24 hours ila kufua aah 😄
 
Sasa watoto wako anawafulia nani mama
 
Sasa watoto wako anawafulia nani mama
Sio kwamba sifui hapana nafua lkn sio kitu nachopenda sana au kazi nayopenda Kuna mwingine hapendi kuosha vyombo,mwingine hapendi kupika mwingine hapendi kupiga but sio km hafanyi hapana anafanya
Watoto Bado Sina ila nitafua hakunashida
 
Hizo unazokanda na kukata haziitwi chapati zinaitwa Manda Manda inatakiwa iwe nyembamba ndio unapata sambusa zenye ladha nzuri.Manda ikiwa nzito sambusa haziwi nzuri.
All in all umejitahidi.
 
Sio kwamba sifui hapana nafua lkn sio kitu nachopenda sana au kazi nayopenda Kuna mwingine hapendi kuosha vyombo,mwingine hapendi kupika mwingine hapendi kupiga but sio km hafanyi hapana anafanya
Watoto Bado Sina ila nitafua hakunashida
😅Mimi kazi nisiyopenda ni kuoga Maji ya baridi mwezi 12 hadi 2 mwanzoni hapo
 
Kwahiyo ni mwendo wa maji ya moto tu 😂
Dah, hivi unaujua msimu wa baridi la huku dodoma, na mwanza kwa wanaokaa karibu na ziwa
Sema mimi kwenye ishu za home mke wangu Ata enjoy ishu za kutengeneza garden mimi ni msukuma lakini napenda maua na miti kama wachaga
 
Ingeenda Njombe ndio ungeenjoy Ile barid ni balaa km usipokuwa na rohongumu unaweza usioge hata siku 2😄
Kuhusu garden hongera watu wanaotunza garden Huwa smart sana
 
Ingeenda Njombe ndio ungeenjoy Ile barid ni balaa km usipokuwa na rohongumu unaweza usioge hata siku 2😄
Kuhusu garden hongera watu wanaotunza garden Huwa smart sana
Yes napenda garden hii tabia Nimekuja Baada ya kuishi na wachaga Yani, sio poa Yan Ata uyoga ukiota tu, kwenye majani unatolewa, nimejikuta nakua na mimi napenda vitu vyangu vikae kwenye mpangilio kuanzia layout nzuri nje, sipendi uvungu mchafu wala tandambui
 
Eeh hongera sana aisee mm mabustani sio vitu vyangu hodar ya kaunzisha ila kutunza sijui 😄
 
Njooo tuowane 🤣🤣🤣
 
Sambusa za nyamaa nazipenda ila kuzila imani ndo sinaaa.. na wife inabdi ajifunze kuzipikaaaa nienjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…