Sambusa za nyama na juice ya matunda

Sambusa za nyama na juice ya matunda

Leo tujifunze hii kitu sambusa za nyama

MAHITAJI
Unga wa ngano
Nyama
Hoho
Karoti
Chumvi
Mafuta

Kwanza chemsha nyama yako kisha isage vizuri
Then chukua ngano weka mafuta na chumvi anza kukanda mimi natengeneza za kula mwenyewe so nilitumia unga nusu
View attachment 3235406

Baada ya hapo ngano yako ulio kanda ipumue kidogo kisha kata na utengeneze madonge kama ya chapati
View attachment 3235410
Baada ya hapo anza kusukuma moja moja iwe kama chapati hakikisha isiwe nzito
View attachment 3235415
Baada ya hapo andaa sahani pembeni weka unga kwenye sahani kisha weka chapati yako kwenye sahani
View attachment 3235418
Na ukiwa unaweka unazibebanisha juu yake unapaka mafut kama ivyo ili ukija babua inakuwa ni vyepesi kuzitoa
View attachment 3235420
Ukimaliza hapo chukua kidogo mimi nilichukua kama chapati tatu zikiwa zimebebana nikazisukuma tena
View attachment 3235421
Baada ya hapo unakata kwa njia ya msalaba kama hivi
View attachment 3235422
Baada ya hapo unaenda kubabua
View attachment 3235423
Weka pole pole ukimaliza kubabua njoo uziachanishe kama hivi
Baada ya hapo nikachukua nyama nilio isaga na kuikaanga nilichanganya pilipili karot na hoho
View attachment 3235430
Baada ya hapo chukua sasa vipande vyako na ulivyo achanisha kunja kama hivi View attachment 3235432na uweke nyama kidogo tu usijaze mpaka juu
View attachment 3235433
Na kunja vizur hakikisha hakuna pembe ya sambusa inayo weza fanya mafuta yaingie ndani
View attachment 3235435
Kisha zikaange kwenye mafuta yalio chemka ili zisinyonye mafuta na ziwe za kawahawia
View attachment 3235436
Zilikuwa mzuri sana
View attachment 3235437
Juice mnajua kusaga nitawapa mahitaji tu
Embe moja
Nanasi moja
Passion matatu

View attachment 3235439
Kataa ndoa hoyee! maziwa yapo kwa jirani ng'ombe wamfugia nani?
 
mwanaume unamiliki vipi kibao cha kusukumia chapati na kikunio cha nazi au mwenzetu ulishatupa taulo kitambo :3Heading:

sambusa zenyewe mbayaa
Hapo unashangaa mwanaume kumiliki vibao vya chapati na kikunio Nazi.
Tena hapo hapo unasonya Sambusa zenyewe mbayaa. Lakini unashangaa mwanaume kumiliki hivyo🤣🤣
Sasa ndio umefanya nini.
Si ndio lazima za mwanaume ziwe tofauti na za mwanamke.
 
Hapo unashangaa mwanaume kumiliki vibao vya chapati na kikunio Nazi.
Tena hapo hapo unasonya Sambusa zenyewe mbayaa. Lakini unashangaa mwanaume kumiliki hivyo🤣🤣
Sasa ndio umefanya nini.
Si ndio lazima za mwanaume ziwe tofauti na za mwanamke.
wewe na mtoa mada wote tushawashtukia kitambo tu:rainBow:
 
Mwanaume unapata muda wa kupika hadi sambusa🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
mwanaume unamiliki vipi kibao cha kusukumia chapati na kikunio cha nazi au mwenzetu ulishatupa taulo kitambo :3Heading:

sambusa zenyewe mbayaa
Ni vitu vya kawaida sana ivyo ila wew unavitazama au unaviona kwa ubaya na ndio maana kwako kuwa navyo ni matusi
 
wewe na mtoa mada wote tushawashtukia kitambo tu:rainBow:
Shida mnapenda sana kumwaga matusi hapa jf kwa watu msio wajua wapi hapo nimekuita wewe kuja kusoma hapa kwenye hii thread nimekutag wapi?

Pia ukiona kitu upendezwi nacho una ignore bro si ipo hiyo sehemu fanya ivyo kulinda nafsi yako isipate makwazo
 
Back
Top Bottom