Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanauza jero za nyamaKumbe ghali,, mbona huku mitaani zinauzwa mia mia, wanapataje faida hawa wajasiliamali,?
Yap naweza ni sahihi ufutakuna vile vidude wanaita ufuta... vitamu vitamu, sijui ndo jina sahihi...
navielewa sana, unajua kuvitengeneza?
Mkuu unapo blend passion epuka ku blend kwa spidi sana pia unakuwa unawasha blender kwa sekunde kadhaa tu aidha tano ama kumi kisha unazima ili kuepuka kusaga hizo mbegu zake si unaona bado zipo kwenye juice inakuwa inaleta kero wakati wakunywa vilevile mwengine anaweza kuona kama ni uchafu kila mtu na mmbichwa wake!. siku nyengine jaribu kutumia hiyo mbinu hutakuja kuona hivyo vichengachenga hata kwenye kuchuja haitakusumbua!, usiblend passion kama unablend mango ama nanasi.Leo tujifunze hii kitu sambusa za nyama
MAHITAJI
Unga wa ngano
Nyama
Hoho
Karoti
Chumvi
Mafuta
Kwanza chemsha nyama yako kisha isage vizuri
Then chukua ngano weka mafuta na chumvi anza kukanda mimi natengeneza za kula mwenyewe so nilitumia unga nusu
View attachment 3235406
Baada ya hapo ngano yako ulio kanda ipumue kidogo kisha kata na utengeneze madonge kama ya chapati
View attachment 3235410
Baada ya hapo anza kusukuma moja moja iwe kama chapati hakikisha isiwe nzito
View attachment 3235415
Baada ya hapo andaa sahani pembeni weka unga kwenye sahani kisha weka chapati yako kwenye sahani
View attachment 3235418
Na ukiwa unaweka unazibebanisha juu yake unapaka mafut kama ivyo ili ukija babua inakuwa ni vyepesi kuzitoa
View attachment 3235420
Ukimaliza hapo chukua kidogo mimi nilichukua kama chapati tatu zikiwa zimebebana nikazisukuma tena
View attachment 3235421
Baada ya hapo unakata kwa njia ya msalaba kama hivi
View attachment 3235422
Baada ya hapo unaenda kubabua
View attachment 3235423
Weka pole pole ukimaliza kubabua njoo uziachanishe kama hivi
Baada ya hapo nikachukua nyama nilio isaga na kuikaanga nilichanganya pilipili karot na hoho
View attachment 3235430
Baada ya hapo chukua sasa vipande vyako na ulivyo achanisha kunja kama hivi View attachment 3235432na uweke nyama kidogo tu usijaze mpaka juu
View attachment 3235433
Na kunja vizur hakikisha hakuna pembe ya sambusa inayo weza fanya mafuta yaingie ndani
View attachment 3235435
Kisha zikaange kwenye mafuta yalio chemka ili zisinyonye mafuta na ziwe za kawahawia
View attachment 3235436
Zilikuwa mzuri sana
View attachment 3235437
Juice mnajua kusaga nitawapa mahitaji tu
Embe moja
Nanasi moja
Passion matatu
View attachment 3235439
Hizo ni za nyama ya mbwa na paka.Kumbe ghali,, mbona huku mitaani zinauzwa mia mia, wanapataje faida hawa wajasiliamali,?
View moja ina utulivu wa kutosha. Mkuu hapa ni wapi ?
Yah kanda ya ziwa mwanaume kupika ni matusi kwao 😂Kuna mshkaji nimemuonyesha hii post akasema eti ''hizo ni sifa za kijinga mwanaume kujua kupika".
BTW jamaa anatokea kanda ya ziwa.
Haha! mkuu wengine fani zao ni u chef ukute ndo alichosomea na anafanya maisha kupitia hicho so ilimradi havunji sheria mi sioni tabu!.Kuna mshkaji nimemuonyesha hii post akasema eti ''hizo ni sifa za kijinga mwanaume kujua kupika".
BTW jamaa anatokea kanda ya ziwa.
Shukrani mkuu nimeangaik nayo siku nyingi nitajaribuMkuu unapo blend passion epuka ku blend kwa spidi sana pia unakuwa unawasha blender kwa sekunde kadhaa tu aidha tano ama kumi kisha unazima ili kuepuka kusaga hizo mbegu zake si unaona bado zipo kwenye juice inakuwa inaleta kero wakati wakunywa vilevile mwengine anaweza kuona kama ni uchafu kila mtu na mmbichwa wake!. siku nyengine jaribu kutumia hiyo mbinu hutakuja kuona hivyo vichengachenga hata kwenye kuchuja haitakusumbua!, usiblend passion kama unablend mango ama nanasi.
Usiwaze soonaisee,
uje utufundishe
ArushaView moja ina utulivu wa kutosha. Mkuu hapa ni wapi ?
Mimi huwa nasaga kwanza passion halafu nachuja na chujio la chai kutoa mbegu.Mkuu unapo blend passion epuka ku blend kwa spidi sana pia unakuwa unawasha blender kwa sekunde kadhaa tu aidha tano ama kumi kisha unazima ili kuepuka kusaga hizo mbegu zake si unaona bado zipo kwenye juice inakuwa inaleta kero wakati wakunywa vilevile mwengine anaweza kuona kama ni uchafu kila mtu na mmbichwa wake!. siku nyengine jaribu kutumia hiyo mbinu hutakuja kuona hivyo vichengachenga hata kwenye kuchuja haitakusumbua!, usiblend passion kama unablend mango ama nanasi.
Leo namtuma boda akupitishie
Wapo wanao jua mkuuWanawake wanaona aibu, kupika wali tu shida😂😂😂