Sambusa za nyama na juice ya matunda

Mkuu unapo blend passion epuka ku blend kwa spidi sana pia unakuwa unawasha blender kwa sekunde kadhaa tu aidha tano ama kumi kisha unazima ili kuepuka kusaga hizo mbegu zake si unaona bado zipo kwenye juice inakuwa inaleta kero wakati wakunywa vilevile mwengine anaweza kuona kama ni uchafu kila mtu na mmbichwa wake!. siku nyengine jaribu kutumia hiyo mbinu hutakuja kuona hivyo vichengachenga hata kwenye kuchuja haitakusumbua!, usiblend passion kama unablend mango ama nanasi.
 
Shukrani mkuu nimeangaik nayo siku nyingi nitajaribu
 
Mimi huwa nasaga kwanza passion halafu nachuja na chujio la chai kutoa mbegu.
Halafu maji ya passion nachanganya na maembe nasaga tena.
Vidude vinakua havipo hata punje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…