Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #161
Ngoja tutafute wafadhiri wa kipindiAnzisha YouTube:
Pika na Mwachiluwi
ndugu we endelea kunywa vi juice tu..πAhahah ngumu iyo siku kichwa kilium mpaka niliokuwa nao wakashangaa kabisa
Namtuma boda akufwatenaomba niwe mgeni wako leo, usimalize pleaseee. Niko njiani π
πΉπΉπΉ Si tunakopea tu ili tutengeneze faida, em mpange basi..!!Nyumba ya urith unataka yule bimkubwa afe
Ase πMh! halafu ukiliwa uje ulete uzi "wakaka wa jf wanatabia mbaya!"
Hapana iyoMwachi njoo unaitwa huku.
Ukinywa nyingi..usipo kunywa maji ya kutosha lazima yakuletee kuumwa na kichwa.. hangover...kutapika..kukosa appetite na kuchukia Sanaa pombeeehiyo wine nishaijua inatwa drosty hof bila shaka, mkuu unaumia kichwa wine! na beer nikajua hata ulikunywa makali..π
Basi wewe ni malaika yani wine unaumwa kichwa!, ngoja nikuache ukikuwa utakuja mwenyewe nilitaka nikuvute!..π€£
Kwender πΉsema ukweli momy...?
Umejuaje wana mixHizi ni for beginners wazoefu ni mwendo wa KUPIGA spirit...kitu Cha magic moment.. konyagi...k vant..
Binafsi mavitu machungu machungu sijawai kuyapenda.
mkuu vipi nakupeperushia njiwa!, usikute ulijipinda kupika kwaajili yanjiwa halafu mimi nakuja kupeperusha tu..π€£Ase π
Mtindi ndio kitu changu pendwa kabisandugu we endelea kunywa vi juice tu..π
AhhahaπΉπΉπΉ Si tunakopea tu ili tutengeneze faida, em mpange basi..!!
wewe ni lilevi lione...π€£π€£Kwender πΉ
Ahahha hapana nimecheka na kauli yako ya onyomkuu vipi nakupeperushia njiwa!, usikute ulijipinda kupika kwaajili yanjiwa halafu mimi nakuja kupeperusha tu..π€£
Haha! mkuu unanifundisha fundi...πUkinywa nyingi..usipo kunywa maji ya kutosha lazima yakuletee kuumea na kichwa.. hangover...kutapika..kukosa appetite na kuchukia Sanaa pombeee
Ujana unamambo mengi mdogo angu πππUmejuaje wana mix
Samahani mkuuπ π πβΊοΈHaha! mkuu unanifundisha fundi...π
mwambie aje wewe ni mwema huna tabia mbovumbovu kwanza hunywi na unapenda wema...π€£Ahahha hapana nimecheka na kauli yako ya onyo
Ngoja sasa nimtafute shemeji yako, akipatikana mzungu itakuwa vizuri sana ili tupate katoto ka halfcast..!!Kabisa iachie kesho π