Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Money vs Power, Je Kairuki ataweza kumuondoa “Dkt” David Mathayo

Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Money vs Power, Je Kairuki ataweza kumuondoa “Dkt” David Mathayo

Sisyphus

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
4,062
Reaction score
5,741
Umofia Kwenu,

Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )

Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.

Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.

Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani

N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
 
Acha wananchi waamue, tatizo uchaguzi huru na haki tu.


Wana undungu na PM mstaafu Msuya?
 
Kairuki miaka yote mi4 anahamishwa wizara tu.... hakuna kitu pale hata wizara aliyonayo sasa kapewa tu na sjui kama hyowizara inasaidia nini kusukuma maendeleo kwa Taifa.
Yuko connected to the power
 
Ilo jimbo atarudishiwa na uongozi wa juu wa ccm hawatomchezea rafu hata kidgo kwa heshima ya baba yake waziri mkuu mstaafu cleopa msuya
 
Dr Mathayo ni Daktari wa wanyama na alisoma SUA,pia ni mtoto wa Cleopa Msuya
 
Back
Top Bottom