Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Money vs Power, Je Kairuki ataweza kumuondoa “Dkt” David Mathayo

Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Money vs Power, Je Kairuki ataweza kumuondoa “Dkt” David Mathayo

Ina maana kazi Sasa Ni kuwapa vyeo tu watoto wote wa waliokuwa Viongozi kwa heshima za wazazi wao? Ndio kazi tunayotakiwa kufanya Kama chama na Nchi?
Atatoka kwa utaratibu kama atashindwa ila sio kwa kuchezewa rafu
 
Tuendelee kujifukiza na kunawa mikono na maji tiririka alisikika bw.mmoja Ommy Sigala
 
Ina maana kazi Sasa Ni kuwapa vyeo tu watoto wote wa waliokuwa Viongozi kwa heshima za wazazi wao? Ndio kazi tunayotakiwa kufanya Kama chama na Nchi?
Kazi yenu kubwa nyinyi ni kupiga mapambio ili watoto wa wazee wa chama waendelee kula matunda ya nchi.

Orodha ni ndefu sana ila anayeshambuliwa ni mbowe
 
Angel kairuki ni mzigo kuliko huyo Mathayo nadhani huwa anabebwa bebwa tu Hana lolote kuongea kwake tu tabu
 
Tuache kuropoka mambo tusiyoyajua, Mathayo David anatoka wilaya ya same kwao panaitwa mbaga marindi huko milimani, wakati Mzee David Cleopa Msuya ambaye ni retired PM anatokea huko mwanga milimani ambako ni jimbo tofauti kabisa, hata undugu hawana!
 
Back
Top Bottom