Sina shida na ulichokisema wewe ila ninashida na Waziri aliyopewa mamlaka pale wizarani kama msimamia sera za wizara husika, Waziri mda mrefu yuko maternity leave tu.Yaani ufahamu umuhimu wa wizara ya uwekezaji kwenye kusukuma maendeleo kwa taifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina shida na ulichokisema wewe ila ninashida na Waziri aliyopewa mamlaka pale wizarani kama msimamia sera za wizara husika, Waziri mda mrefu yuko maternity leave tu.Yaani ufahamu umuhimu wa wizara ya uwekezaji kwenye kusukuma maendeleo kwa taifa?
Hilo la Cleopa Msuya huwa halitumii sana sijajua kwa sababu zipiAnaitwa David Cleopa Mathayo Msuya
DuhAnaitwa David Cleopa Mathayo Msuya
DengeluaJamaa anatumia hiyo advantage mwaka jana mwishoni alimwaga fedha sana kwa wazee yani unapigwa M papo kwa papo ya pombe ( mawa)
UMOFIA MWENYEWE!Umofia Kwenu,
😂 you exposed yourself chief ... By the way Umofia kwenu sio salam ya kabila langu Boss (hukooo kwa kima Obi Okwonko- Igbo)UMOFIA MWENYEWE!
Usituletee vi ukabila ukabila ambavyo ungeweza kuvi post kwenye whatsapp group lenu la kabila lenu mkajadili mbunge wenu wenyewe.
Anyhow, wabunge wa CCM watachaguliwa na Mwenyekiti wa CCM, sio hela, kura wala jina.
Mwenyekiti wa CCM amesema mtu atakaegombea ambae hategemewi agombee atakuwa punished kwa kutenguliwa cheo alichokuwa nacho.
Jana naambiwa hana nyumba huko Same, eti akienda analala Elephant Motel, Nzoroko na Yasir.Mathayo apumzike
Naunga mkono hojaJana naambiwa hana nyumba huko Same, eti akienda analala Elephant Motel, Nzoroko na Yasir.
Wathee wa Kipare wanashangazwa Mfumwa wao hana kaya wanamtafuta kama yupo kwenye mahotel.
It is real sad and sickening.
Hii inampa mh Kairuki credit kwa kuonyesha mapenzi ya home sweet home, akienda Same pamoja kuwa ni waziri anafikia kwao Suji au kwake Same mjini na kujichanganya na raia wa upareni na watanzania.
Kiufupi Mathayo hastahili hata kidogo kuvaa viatu vya kifumwa hapa land of ginger, gypsum and Rhino in Mkomazi.
Una uhakika same magharibi haina maendeleo?Kumekuwa na dhana kuwa wabunge wa upinzania wanachelewesha maendeleo. Jilbo hilo halijawahinkushikwa na upinzani lakini Mathayo anasemwa hana la maana amefanya.
Tuache unafiki!! Ukweli ni kuwa maendeleo hajaja kwa sababu ni jimbo salama kwa CCM. Angalia majimbo yasiyo salama yanavofanyiwa maendeleo!! Niko Arusha na ninajua Singida, Shinyanga na Tabora zikoje!!
Ilani ya CCM ndio kikwazo. Sio mbunge wa chama hiki ama vile!!
Yaaaa!!!Umofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )
Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.
Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.
Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani
N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
Du nilishasahau kwamba ˜Dr David Mathayo bado yupo mjengoni.Umofia Kwenu,

Wivu tu! Kwani kuna ubaya gani yeye kuendelea na ubunge? Wacha mama jiwe soigwe asubuhi na mapema! Eti unaweka fungua na funga semi kwenye udaktari wa Mh. Mathayo, utakuwa kajinga wewe, weka kabisa Dr. Maana huyo ni daktari wa wanyama, kasoma ZimbabweUmofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )
Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.
Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.
Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani
N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
Kushinda kwenye kura za maoni si kigezo cha kuchaguliwa,Mwenyekiti alishasema huko nyuma.Angalia yaliyotokea Songea kwa Damas Ndumbaro alikuwa wanne.Umofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )
Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.
Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.
Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani
N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
Je unamjua vizuri Mathayo? Hakuwahi kusoma Zimbwabwe alisoma Sua akaagushi South Afrika...je unamjua Mathayo?Wivu tu! Kwani kuna ubaya gani yeye kuendelea na ubunge? Wacha mama jiwe soigwe asubuhi na mapema! Eti unaweka fungua na funga semi kwenye udaktari wa Mh. Mathayo, utakuwa kajinga wewe, weka kabisa Dr. Maana huyo ni daktari wa wanyama, kasoma Zimbabwe